Mkimbizi Kusini
New Member
- Oct 5, 2011
- 4
- 4
Badirisha jina lako.Umechagua user name ya mtu ambaye alikuwa na busara sana duniani alafu unachoandika hakina hekimaWamekosea , wangemsubiria hadi ijumaa ndo wamtie nyavuni akanyee debe hadi jumatatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badirisha jina lako.Umechagua user name ya mtu ambaye alikuwa na busara sana duniani alafu unachoandika hakina hekimaWamekosea , wangemsubiria hadi ijumaa ndo wamtie nyavuni akanyee debe hadi jumatatu
Asanteni sana police kwa kumkamata huyo muuza unga na mtumiaji unga. Kesho apelekwe kwa mkemia mkuu wapime damu ya moyoni kabisa.
Afadhali ya kikoloniMkuu serikali ya kikoloni unaijua au unaisikia tu?acha utani kabisa na serikali hiyo.
Amerudishwa? Ha ha haaa...amekwenda kupekuliwa, hujasikia azam two breaking news?kakamatwa ameshushwa kwenye gar yake amepakizwa gar ya polis amepelekwa kuhojiwa baada ya mahojiano amerudishwa nyumban kwake na gar ya police
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Mmejitahidi sana FISIEM mpaka leo Mmeambulia kete mia4 za sembe aka kitubarida. ambazo punda watatu tu wakitulia wanabeba mzigo wote huyo.Kwa sasa tunaendesha vita ya madawa ya kulevya
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Ndo ile ishu ya kuropoka auMahakama kuu.
ulimwona akijificha au mihemko??Akamatwe tu km hausiki mbn anajificha sheria ni msimeno
Kama kawaida mkiongozwa na matukioKwa sasa tunaendesha vita ya madawa ya kulevya
Summons kutoka POLISI?Wala hajimalizi kisiasa,Inawezekana pia amepelekewa summons na akaenda mwenyewe,hivyo sishangai UVCCM akija na mbia kama vile amefumaniwa.Ila Kesho mumsindikize Mkuu wa Mkoa Mahakamani.
Watu wengine bwana,,sasa kama wamemkamata si wametumia nguvu,,kwan kajipeleka yeye mwnyw kama wengn walivyofanya?alisema siendi kwa kauli ya yule KONDA wenu,,hajajipeleka mwnyw,ni polisi ndo wameunguza mafuta ya walipa kodi kwenda kumchukua,,,anyway tunataka chanzo cha habari na sio mtu kakurupuka kuandika movie waliyoitunga yy na mkeweHaya akina Tundu LISU waliotunisha misuli koko wakisema hatakwenda mbona tayari anaenda? TUNDU lisu sema sasa una uongo gani au porojo gani tena za kubwabwaja?
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Wanampekua leo?ITV wamesema Mbowe amekamatwa na mpaka wanaleta taarifa hii walikuwa wameenda kumpekua nyumbani mwake kesho tutapata habari kamili