Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

-->>Niwakati wao acha wayatende haya kwa sasa muda utafika pia wao hawatahurumiwa hata kidogo......""
 
Kwa taarifa hii tunaweza kuamini kuwa ni rasmi, KUB amelala sero la police central na kesho atatolewa kwenda kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kupimwa status yake ya kutumia mihadarati!
amelala muda gani wakati hata siku bado haijaisha au amelala mchana hapo selo?
 
na wewe acha UONGO kilamtu kaiangalia ITV
ingawa hakukuwepo na picha lkn kashushwa kwenye gari yake na kupandishwa ya Polisi wakiwa njia
na wanamshikilia mpaka sasa baada ya kutoka kwake
sasa unataka kuungana na waliosema alikwenda mwenyewe Central?
Wapi waliposema "Ameshushwa Kilazima"!!????
Sijaungana na mtu yoyote. Soma bandiko langu kwa kutumia busara utalielewa.
 
Alifanywa nini??Lizabon ninakuonea huruma sana kuwa na moyo uliojaa chuki,visasi na ubaguzi ambao uaniga tu kutoka kwa viongozi wako,ukiulizwa Mbowe amekufanya nini huna cha kujibu.

Sasa ukiambiwa ameenda mwenyewe polisi utarudi na kitu gani hapo??Dunia ni njia tunapita,na cheo ni dhamana leo unacho kesho huna
Hajaenda mwenyewe, usipotoshe, ukweli tuukubali mengine baadae.
 
Vituko nchi hii vitaisha lini?
Search ya kueleweka ni ile ya kuzhtukiza

Hii inayofanyika ni mazingaombwe maana hawawezi kupata evidence maana alishajua tangu last week kwamba hili jambo litatokea labda km "watamchomekea" viroba vya unga na gunia la bangi
 
Polisi wenyewe ndio hawa...
6805908648ced3d1f2a73f205a0f2e33.jpg
 
Back
Top Bottom