Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Mange mwenyewe ni suala la muda labda asirudi bongo maana wanamsubiri kwa ham kweli kweli na mkumbuke ni miaka kumi
Mm naona bora Wema naye afungwe tu kama Lema. Halafu tuene jinsi miccm it aka tonic hang any a! You won't believe kauli za utata utata zitakavyokuja
 
Mange anazidi kupalia makaa ya moto tu. Wema hakujua Kama anarekodiwa? Wanasemaga mdomo huponza kichwa
Bila shaka hakujua kuwa anarekodiwa, aliyemrekodi hamtakii mazuri wema.

Wema nae kuna muda inatakiwa akae kimya asubiri maamuzi maana ulimi huponza wakati mwingine
 
Wema Sepetu
 

Attachments

Mchanganuo wa video clip hii kwa nionavyo:-

1. Wema hajakanusha kwamba hahusiki na madawa yakulevya -moja kwa moja yuko guilty!.

2. Anategemea favor, influence ya mfumo kumweka huru. .

3. Anasema wazungu wameachiwa mbona wao ndio wamebaki, kwa hiyo anataka aachwe huru waendelee kama watakavyo.

4. Anataja na mateja wengine "Agness".

5. Nimegundua shule ni ufunguo wa maisha.

a) mtu gani mweye elimu yake japo kidogo angesema "tumesikia anataka uwaziri....". Huu si ujuhan sana? Kutaka uwaziri kwa mtu na kushindwa kujitetea kwa mtuhumiwa kuna husiana nini? Kwa hiyo aachwe tu aendelee kuua watu kwa sababu hakuna kiongozi anayeonyesha kujali? Uwaziri wa Makonda utakuja kwa kazi zake, lakini hakuna uzalendo wa mtu utathibitiska kwa kuwaogopa waharifu kwa sababu wana macho ya kutisha.

b). Sijawahi kufikiria mtu katila level hii, anaweza kuwa na akili za kitoto kwamba fulani mbona kaachwa? Akidhani kwamba kwa kuwa mwingine hajakamatwa kwa kuwa ni "mwanamke wa rc na kamjengea nyumba sijui kampangishia nyumba makongo", kutapelekea kumwondolea hatia ya mashitaka.

Nani washauri wa Wema? Mbona mnawamcha anaangamia huku mkiona? Mpeni maarifa na hekima basi japo kidogo. Au na wshauri wake ni wa kiwango cha ngono, kujionyesha na kugombana tu?

Pole kwa Watanzania wote!
Naendelea kuufanyia kaz mchanganuo wako Mkuu.
 
Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.

Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa

Na wewe ni kachochezi!. Lol!
 
Kama familia ya wema inampenda binti yao impige stop mange kua mtetezi wa wema mtandaoni anamharibia sana wema. clip zote karusha mange na kuziwekea jina lake kutafuta sifa na followers wengi.
Shida ni watu wa karibu na wema.....

Mtu mwenye nia nzuri na wema angeedit hiyo clip

Na mange alivyonyamitusi hata hakuangalia athari za hilo neno......
 
Wenye simu za kufunga mapira kazi ipo nasikia audio itamtokea puani,mara ooh masogange hata sielewi kabisa duuh ngoja nichaji tena nitarudu
 
,tunampongeza Kwa kazi ya nia ya dhati kabisa kupambana na janga hili limalizalo vijana kuliko HIV.Pia tunamuomba apambane na janga La viroba pia ni shida zaid ya madawa.
Tena hili la viroba Mheshimia waziri wa Mambo ya Ndani ni mdau wetu humu jama ukienda vijijini ndio kunatisha viroba vinauwa nguvu kazi ya Taifa mdau wetu tunaomba sana uangalie hili swala jicho la tatu.
 
Back
Top Bottom