Hyo system ni very expensive hata bakhresa mwenyewe ameshindwa kutoa chumvi kwenye maji anauzia watu maji ya chumvi.
Pole yetuHyo system ni very expensive hata bakhresa mwenyewe ameshindwa kutoa chumvi kwenye maji anauzia watu maji ya chumvi
Hiyo gharama unaiweza mkuu?Duuhhh!!! Hivi hatuna watu wanaoweza kutreat maji ya chumvi watu wakatumia maji ya bahari na kuacha kutegemea chanzo kimoja tu cha maji!?!
Maeneo mengi yanapata majichumvi kutokana na DAWASA kutumia visima vifupi kuliko vinavyochimbwa na watu binafsi, maji hayo yanaharibu mabomba na koki za chuma.Wasalam,
Huu uzi naomba mods muwa tag DAWASA ili waje watupe jibu la swali letu.
Je, DAWASA mmeanza kutoa maji ya chumvi rasmi?
Malalamiko ya upatikanaji wa maji safi na salama yamekuwepo kwa muda mrefu sasa hali imebadilika baada ya kuanza kusambaziwa maji ya chumvi au yenye magadi makali saana.
Mwenzi huu wote maji yao yamekua na changamoto ya chumvi kiasi ambacho unaogea kwa taabu na hata kufanyia shughuli zingine ikiwa pamoja na kunywa.
Ikiwa ni hali hii inatokana labda na kutikutegemea mito je kama ni visima ni kwamba DAWASA wameshindwa kutumia technology ya ku treat maji ya chumvi na ku ya stabilise?
Kwa hali hii je hamu hatarishi Afya zetu kwakuruhusu kutoa huduma kinyume na makubaliano ama huduma chini ya kiwango?
Utaiweza gharama ya maji ya chumvi kuyafanya yawe soft water au distilled kama hayo ya uhai?Maji ya uhai ni ya chumvi lakini ukinywa husikii, ni kutudharau tuu watanzania
We ubwa achakujifanya mjuaji we anaona ni haki tunapooziwa maji yanamna hi kwa bei ile ile??Utaiweza gharama ya maji ya chumvi kuyafanya yawe soft water au distilled kama hayo ya uhai?
Kama utaiweza achana na maji ya DAWASA kanunue maji ya uhai yapo kibao madukani.
Nani anawasimamia hawa na hii hasara ya baadae??Maeneo mengi yanapata majichumvi kutokana na DAWASA kutumia visima vifupi kuliko vinavyochimbwa na watu binafsi, maji hayo yanaharibu mabomba na koki za chuma.
Kama hatuwezi kuimudu hatuna budi kuendelea kunywa maji chumvi tu.Hiyo gharama unaiweza mkuu?
Mimi nililalamika sana na sampuli ya maji niliwapa, cha ajabu walipiga picha ndani ya tangi la maji wakatikomea, huu ni mwaka wa nne hola!Nani anawasimamia hawa na hii hasara ya baadae??
Binadamu anawezaje kuongea na mbwa kama wote siyo mbwa?We ubwa achakujifanya mjuaji we anaona ni haki tunapooziwa maji yanamna hi kwa bei ile ile??
Mi nimejaribu kueleza tatizo na suluhisho lake kutokana na uelewa wangu na wewe njoo na suluhisho na si kejeli otherwise unapita kushoto bila kukoment kama wengine
Kwanza nikueleweshe nnambwa nafuga mbwa huwa nawasemesha wananielewa.Binadamu anawezaje kuongea na mbwa kama wote siyo mbwa?
Suluhisho lako halina uhalisia, madai ya kutaka maji yachakatwe kama ya chupa ya dukani kisha yauzwe kwa bei ya kawaida kama ya tape water ni utoto.
Wewe ungeomba punguzo la bei au ungedai uletewe maji ya kiwango cha ubora wa kawaida.
Umeongea kama mtoto mdogo au haujasoma kemia ya kiwango cha kidato cha pili.
Ku treat maji chumvi kuwa matamu ni gharama sana , dawasco ilitakiwa wageukie mto rufiji maana unamwaga maji tu bahariniDuuhhh!!! Hivi hatuna watu wanaoweza kutreat maji ya chumvi watu wakatumia maji ya bahari na kuacha kutegemea chanzo kimoja tu cha maji!?!
Ni kweli mto Rufiji unaweza ukasaidia sana, ila swali la kujiuliza hakuna watu wanaoutumia mto huo kwa ajili ya kilimo!?!Ku treat maji chumvi kuwa matamu ni gharama sana , dawasco ilitakiwa wageukie mto rufiji maana unamwaga maji tu baharini
Kutoka daraja la mkapa kwenda baharini hakuna shughuli za kilimo mto unamwaga maji tu baharini !!Ni kweli mto Rufiji unaweza ukasaidia sana, ila swali la kujiuliza hakuna watu wanaoutumia mto huo kwa ajili ya kilimo!?!
Basi kuna haja ya kuusaidia mto Ruvu pia angalau ikiwa miwili naamini maji hayatasumbua sana hapa mjini.Kutoka daraja la mkapa kwenda baharini hakuna shughuli za kilimo mto unamwaga maji tu baharini !!
Rufiji peke yake inauwezo wa kulisha hata mikoa mitano , sema mambo ya kitaalam yanaingiliwa na wanasiasa ndo hao wanakomaa na mto ruvuBasi kuna haja ya kuusaidia mto Ruvu pia angalau ikiwa miwili naamini maji hayatasumbua sana hapa mjini.
Siasa na utaalamu havikai chungu kimoja hata sekunde moja.Rufiji peke yake inauwezo wa kulisha hata mikoa mitano , sema mambo ya kitaalam yanaingiliwa na wanasiasa ndo hao wanakomaa na mto ruvu
If it makes you feel happy then call me a dog or a lice thousand times, it doesn't bother me as long as I know who I am.Kwanza nikueleweshe nnambwa nafuga mbwa huwa nawasemesha wananielewa.
Pia mm.sio mkemia swala la gharama ni kufafanuliwa we umekuja kunikejeli lazima nikuwashe we chawa