DAWASA, mmeanza rasmi kutoa maji ya chumvi?

Jambo lolote ukifanya taratibu jamii haistukii ila ghafla ghafla inashtukaaa.
Itakuwa wana test mitamboo, Hali sio nzurii mito mingi imeeanza pungua maji

IPO siku mto wami utakuja nyauka, nakumbuka miaka hiyo mto kikavu njia ya Arusha Moshi, ulikuwa na maji mengii, ila miaka ya hivi karibuni unanyauka kauu kauu
 
Maji ya REVERSE OSMOSIS YANA CHUMVI?
It depends on the salinity of the water source but reverse osmosis doesn't purify water 100% it only depends on the intensity and longetivity of the source.
 
It depends on the salinity of the water source but reverse osmosis doesn't purify water 100% it only depends on the intensity and longetivity of the source.
RO inapurify water mkuu....(kwa kiwango cha matumizi ya viwandani na majumbani).
It only depends on
Quality of feed water & Percentage recovery.
 
At least wewe umeongea point ya nguvu yaan watu wanashindwa kufanya treatment ya maji kweli kweli kweli yaan wameshindwa kabisa kuyatreat maji?
Inawezekana sema wabongo wanavipaumbele Vingine.
Na hizi plant wala sio Gharama, ni basi tu.
Na hata wakinstall, vinakufa kwa sababu ya poor operation.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu wanajua, sio kweli kwamba DAWASA wote ni vilaza.
Ila nadhani wataalamu wazuri hawana Sauti.
Wape somo tu mkuu labda watachukua utaalamu kutoka kwako haiwezekani washindwe kiasi hiki it doesn't make sense at all
 
Ni kweli maji ya chumvi huwa tunawaletea wateja wakorofi kama wewe usielipa bili kwa wakati.[emoji51]
 
RO inapurify water mkuu....(kwa kiwango cha matumizi ya viwandani na majumbani).
It only depends on
Quality of feed water & Percentage recovery.
Tunabishana mkuu kwa mfano RO ya maji ya afya ni tofauti na kilimanjaro na uhai kama RO inafanya kazi 100% kwa nini tusi purify maji ya chumvi ndio maana nimesema mwanzoni it depends on the water source of the water to be purified if it's easier like that kwa nn tusi purify wastewater?
 
It depends on the salinity of the water source but reverse osmosis doesn't purify water 100% it only depends on the intensity and longetivity of the source.
RO inatoa madin yote kwenye maji yani hayo unayo yaona kwenye chapa ni dosing iyo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…