NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
Kule mtasubiri sana chimbeni visima vyenu milima utafikiri tupo nchi ya Rwanda bwanaKwanza napenda kuwapongeza sana DAWASCO kwa utaratibu huu mzuri sasa hebu tuelezen barabara ya Goba ya mbezi mnaleta maji lini?
Salimia Mh Luhemeja kwa kazi nzuri ...Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.
Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)
Du Hatari Sana Huyu Mnyonge Atakoma.ni Tsh 1668/= kwa unit
bili yako unaletewa kutokana na usomaji mita wa eneo lako. sio lazima usomewe mwisho wa mwezi inategemea na routine ya Msoma mita katika eneo Hilo. kwahiyo unavyosomewa mita na kutumiwa bili yako ndani ya siku 7 uwe umeshalipa hudumaBili za maji mnaboa katika kudai, yan unakuta mwisho wa mwez bado, watenda kaz wanatumwa, wakifika ata kama mweeny nyumba hayupo mnataka kukata maji, house girl anapata wap pesa ya kulipia hayo maji
Kibaya zaid unakuta ni elfu kumi, na mwez haujaisha mnaboaga sana , hasa uku tabata kisiwani, yan mnaboa mnooo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba mlete mradi was maji ya mabomba Goba mpakaniNdugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.
Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)
tafadhali wasiliana nasi kupitia inbox kwa kutupa taarifa zako nasi tutazifanyia kaziNimelipa kuunganishiwa maji tokea tarehe 29/05/17 Kwa ajili ya kuunganishiwa maji. Lakini mpaka leo sijaunganishiwa, nimeenda DAWASCO Boko nimeambiwa hawana mipira ikiwa tayari watanipigia.
Kama mnajua kuwa mipira haitoshi kwanini mnawaambia wateja walipe??
watu wa DAWASCO walioweka hii threand nashindwa kuwaelewa manake naona kama wanachagua maswali ya kujibu hilo swali langu nililouliza hapo juu miezi kibao imepita halijajibiwaKwanza napenda kuwapongeza sana DAWASCO kwa utaratibu huu mzuri sasa hebu tuelezen barabara ya Goba ya mbezi mnaleta maji lini?
bili yako unaletewa kutokana na usomaji mita wa eneo lako. sio lazima usomewe mwisho wa mwezi inategemea na routine ya Msoma mita katika eneo Hilo. kwahiyo unavyosomewa mita na kutumiwa bili yako ndani ya siku 7 uwe umeshalipa huduma
Milima sio ishu. Mwanza kuna milima mikubwa lakini maji mpaka juu kilimani na yanatoka kila siku na cha kushangaza Mwanza uwezi kukuta Mabomba yamepasuka pasuka kama Dar es salaam tatizo menejimenti ya Dawasco imekaa kirushwa Rushwa tuu ndio maana Mh. Raisi alisema yule Mtalemwa wa Dawasco ajistaafishe mwenyewe pasipo serikali kumlazimisha kustaafu. Lakini nashangaaa kimiya mpaka Leo inamaana kaleta ukaidi kwa Mh. Raisi.Kule mtasubiri sana chimbeni visima vyenu milima utafikiri tupo nchi ya Rwanda bwana