HukuTabata Kisiwani aka Tabata Mwananchi ndio usiseme. Mqji yanamwagika kila baada ya nyumba tatu ya nne inamaji yanavuja. Sijui hao wasoma mita wao hawaoni.Mabomba mengi bado yanamwaga maji maeneo ya Ubungo Terminal. yazibeni bana ni keroo
asante sanaHongereni kwa kuongeza na kuweza kugawa maji kila siku kibaha na kwa pressure kubwa, tatizo kubwa lililojitokeza ni mabomba kupasuka hovyo sababu ya uchakavu, ombi langu wakati huu wa mvua muendelee na mgawo ili muweze ku spot sehemu zote mbovu na mzifanyie matengenezo ili hapo baadae mtakapotoa huduma 24/7 basi pawe na upotevu kidogo wa maji kuliko hivi sasa, vijana wenu wanajali tu endapo bomba kubwa limepasuka na si haya madogomadogo ya mtaani... pamoja na yote Hongereni
asante kwa taarifa itafanyiwa kaziHukuTabata Kisiwani aka Tabata Mwananchi ndio usiseme. Mqji yanamwagika kila baada ya nyumba tatu ya nne inamaji yanavuja. Sijui hao wasoma mita wao hawaoni.
asante kwa ushauri..tutaufanyia kaziAhughulikieni mambo haya mawili kwanza.
1. Upotevu wa maji ikiwemo na wezi. Pamoja na kuongeza customer base.
2. Ukusanyaji wa madeni kwa matajiri na mawaziri. Kama ifanyavyo TQNESCO
ndugu mwananchi. kwa eneo la goba mtandao wetu umeanzia pale Tank bovu hadi goba mwisho maarufu kama zahanati. na maeneo yanayopata Maji ni kwa Pembe...Kunguru...contena...njia panda ya kinzudi hadi kwenye zahanati. tunaomba kufahamu eneo lako ni wapiHili swali halijajibiwa: Wakuu mmeliona hili
VIP kuhusu wakazi wa maeneo ya kimara esp maeneo ya mavurunza,saranga,bonyokwa na maeneo jiran na hayo? Mlitoa matangazo,wananchi wakajaza formu,na wengine kulipia kabisa ili waunganishiwe Maji,lkn mpaka sasa ni zaidi ya miezi6_8, hakuna kinachoendeleandugu Dan..bili zinatolewa pindi tu mita yako inaposomwa na msoma mita wetu. inawezekana kupata bili yako hata tarehe 1 na kuendelea kutokana na usomaji mita. jinsi unavyosomewa mita ndivyo utakavyopokea bili yako. ukisomewa bili yako Leo utapokea bili yako kwenye simu kesho yake
Mimi ningependa kujua mita zao zinasomaje ili tuwe tunaenda sambamba,Dawasco acheni wizi
Mwezi huu mvua zimenyesha mfululizo sijatumia maji yenu sana nashangaa mnaleta bili na kudai 35,000/= eti mnadai nimetumia unit 25 acheni upuuzi
Huu ni utapeli uliopitiliza
Nashukuru taarifa imefika, leo watu wenu wamekuja ila wamefunga maji, na kukata kipande kilichokuwa kimepasuka, hatuna maji mitaa hii, tunaomba warudi fasta kuweka kipande kipya tuendelee kupata huduma, msichukue muda mrefu.Kunduchi mtongani pia kuna bomba lenu limepasuka. Maeneo ya karibu na kota za polisi ila ukitokea mtongani kwenyewe ile barabara ya mikokoni ambako gari haIpiti kuelekea kota za polisi kuna bomba lenu linavuja sana.
Hata external pale, baada ya mataa njia ya kwenda mabibo/maziwa opposite na Marriot hotel mabomba yanamwaga maji njia nzima ni topeasante kwa taarifa..tunaomba utuelekeze ni maeneo gani kwa pale Ubungo Terminal
Wameniboa kinomaMimi ningependa kujua mita zao zinasomaje ili tuwe tunaenda sambamba,
DAWASCO.
Nashukuru kwa majibu mazuri: Nazungumzia Goba Kulangwa, Maeneo ya Round About na maeneo yote ya kwenda njia ya Madale ili kuungana na Wazo karibu na Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Kulangwa etcndugu mwananchi. kwa eneo la goba mtandao wetu umeanzia pale Tank bovu hadi goba mwisho maarufu kama zahanati. na maeneo yanayopata Maji ni kwa Pembe...Kunguru...contena...njia panda ya kinzudi hadi kwenye zahanati. tunaomba kufahamu eneo lako ni wapi