ubadilishaji mita ni bure hutakiwi kutoa hela yoyote. unit moja ni Tsh 1663Eti.ukiwa na mita ya zaman.alafu ikaharibika.mkaja kubadilisha.je inakuwa mmeitoa bure au nailipia kwenye bili?
2.maji mnauza sh ngapi kwa unit.kwa DAR?
Nilichoongelea siyo mahesabubitoz dawasco haiwezi kukupa bili kwa maji usiyotumia. kaangalie kwenye mita yako uangalie jinsi mita yako ilivyozunguka na uzidishe kwa bei ya Tsh 1663 kwa unit
hujatumia sana maji ni lugha ngumu kidogo..bili uliyotumiwa ndio matumizi yako ya Maji. kwan hayo maji ya mvua uliyaunganisha kwenye mfumo wa dawasco? tafadhali kalipe bili yako kuepuka usumbufuNilichoongelea siyo mahesabu
Sijatumia sana maji mwezi huu mvua zimenyesha mwanzo mwisho hizo unit 25 nilizotumia {km mbili yenu inavyodai) zimetoka wapi?
Bomba huwa nafunga na kufuli
Jaiwezekani bili ya April izidi ya May ambapo nilikuwa na maji kibao ya huwezi
Kuna walakini mkubwa
lita 1000Unit moja ni sawa na Lita ngapi?
hujatumia sana maji ni lugha ngumu kidogo..bili uliyotumiwa ndio matumizi yako ya Maji. kwan hayo maji ya mvua uliyaunganisha kwenye mfumo wa dawasco? tafadhali kalipe bili yako kuepuka usumbufu
Bunju b ,eneo ambalo ni opposite na nyumba za mradi wa nyumba za serbunju b eneo gani
Eneo ambalo hatuna maji ya Dawasco ni ,ni Bunju b opposite na Nyumba za watumishi wa serikali zinazomalizika kujengwa na Tanzania Building Authority TBAbunju b eneo gani
Bunju b ,eneo ambalo ni opposite na nyumba za mradi wa nyumba za ser
Eneo ambalo hatuna maji ya Dawasco ni ,ni Bunju b opposite na Nyumba za watumishi wa serikali zinazomalizika kujengwa na Tanzania Building Authority TBA
Dawasco unazingua, mbona hujibu project mpya ya maji maeneo kama mpiji magoe,msakuzi,machimbo,tumejaza form kitambo tunaambiwa maji yanakuja hadi sasa hakuna kituNdugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.
Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)
Wameniboa ila nimeamua kukaushaMbona unalazimisha mteja kulipa akara ya Maji ambayo yeye anaona hastahili? Hoja Yake huoni ina msingi? Mimi nilitarajia umshauri aende ofisi ya Dawasco iliyo karibu nae apeleke malalamiko Yake ili fundi wa Dawasco afike pale akaangalie hiyo mita pengine kuna tatizo la kiufundi kwenye hiyo mita! Sasa mambo Kama hayo mnashindwa kujiongeza!
ndugu mwananchi hawa wauza maji kwa magari maarufu kama bowsers kwanza tumewasajili kujua idadi yao na point wanazozichukulia maji...pili maji yanayofungwa kwenye vioski vya kuwauzia wao Maji tumeiweka kwenye system ya pre~paid meter hivyo wanalipa kulingana na kiasi wanachonunua.Dawasco mnawezaje kujihakikishia kuwa hawa wanao uza maji hawawaibii? mna utaratibu gani wa kuwafatilia?
asante kwa ushauri tumeupokeaHabari za kazi na poleni na majukumu,
Msimu wa mvua umeisha na muda si mrefu barabara za mitaani zitaanza kurekebishwa, kwani zimeharibika sana. Nauliza mumejipanga vipi kulinda miundo mbinu ya maji isiharibiwe, bomba zisikatwe kutokana na uchongaji wa barabara? Nimeuliza kwasababu, imekuwa ni kawaida kila mwaka bomba kukatwa sehemu mbalimbali wakati wa kurekebisha barabara kwa kutumia mashine hasa graders. Na ukizingatia sehemu nyingi hakuna alama za kuonyesha bomba imepita chini ya ardhi. Na hii inasababisha usumbufu wa kufatilia, hasara zisizo za lazima na inapelekea kaya zingine kukosa maji kabisa kwa kutojua tatizo limetokea wapi.
Nawashauri mtoe tangazo kwa umma, kabla ya kuanza kurekebisha miundo mbinu ya barabara wawasiliane na nyie ili muweze kutoa ushirikiano wa kuwaonyesha., au mkutane na mamlaka husika wa barabara mpange jinsi gani mtafanya kazi pamoja kuliko kuacha bomba ziharibiwe.
Asante.