mamenrevy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 583
- 351
wrong numberJamani watu wa tanesco tunaomba kama mnakata umeme taarifa ni muhimu maana mtatuunguzia vitu vyetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wrong numberJamani watu wa tanesco tunaomba kama mnakata umeme taarifa ni muhimu maana mtatuunguzia vitu vyetu
Ununio hatuna maji siku ya pili mfululizo na hakuna taarifa yeyote!Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.
Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)
Nimeunganisha maji tangu dec 2017 ila sijawahi pata maji hata siku moja.
Nimeshangaa leo nimeletewa bili na deni eti nadaiwa 53,000 sasa sielewi ni la nn maana hela ya kuunganishiwa maji nililipa na maji hayajawahi kutoka tangu kipindi kile.
Sasa sielewi bili na deni ni la nn
Kukamilika kwa miradi ya kimbiji na mpera kutaleta neema ya Maji kwa maeneo hayo na maeneo ya jiraniJe kwa nini DAWASCO hailengi kuongeza wateja wapya na badala yake inahangaika na wale wale wa siku zote? Hamuoni kuwa kuna fedha nyingi mnaziacha kwa potential customers ambao wanashindwa kupata huduma zenu kwa vile tu hamuendi kwa wananchi?
Fikiria maeneo kama Mbagala Gongolamboto, Kigamboni nk sidhani kama mmeyafikia maeneo hayo
Tafadhali uko kituo gani tukutumie namba ya eneo husikaHizo namba za huduma kwa wateja mlizoweka huwa hazipokelewi. Unaweza kupiga kutwa nzima na usijibiwe. Haya ni malalamiko ya baadhi ya Rafiki zangu waliopo Dar es Salaam
SawaSafi sana, unaona faida za mitandao ya kijamii habari kama hii mungeiweka TBC au gazeti la uhuru mimi nisingeiona, lakini kupitia JF nimeiona, hongera sana.
Sasa, muwe mna toa ushuhuda kwa viongozi wa kisiasa kuwa mitandao ya kijamii na hasa JF inasaidia sana kufikisha ujumbe kwa wananchi wengi
Tunaomba Account namba yako tufatilie kwa ukaribuNimeunganisha maji tangu dec 2017 ila sijawahi pata maji hata siku moja.
Nimeshangaa leo nimeletewa bili na deni eti nadaiwa 53,000 sasa sielewi ni la nn maana hela ya kuunganishiwa maji nililipa na maji hayajawahi kutoka tangu kipindi kile.
Sasa sielewi bili na deni ni la nn
Hitilafu ya mara kwa mara ya umeme inapeleka kuzimwa kwa mitambo hivyo kuadhiri uzalishaji..huduma imesharejea sasaUnunio hatuna maji siku ya pili mfululizo na hakuna taarifa yeyote!
Tunerudi..karibu kwa hojaJambo lolote ukiiga ni lazima uchemke , hawa jamaa awakujipanga kabisa na hii huduma kiko wapi sasa wamekula kona.
Tupatie account yako tufuatilieMbona hatupati bill ya maji kupitia msg.kuna tatizo gani
Inawezekana ..fika ofisi ya dawasco unayohudumiwa ili wafanye kitu kinaitwa adjustmentWahusika kama nilikuwa nalipa bill kwa Maxmalipo au Selcom bahati mbaya nikakosea akaunti namba malipo yakaenda kwenye akaunti nyingine nawezaje kurekebisha ili malipo yaende kwenye akaunti iliyokusudiwa?