Ngugi wa Malindi
Member
- Jan 10, 2018
- 26
- 44
mna mpango gani kuhusu usambazaji wa maji Chanika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DAWASA ni mijizi. Baada ya kubambikiwa sana bili nikaanza mfumo wa kusoma meter kila siku. Kama bahati safari hii msomaji meter amekuja nikiwepo pia, tumesoma wote meter. Cha ajabu baada ya siku 2 inakuja bili ikiwa na units 4 zaidi ya zilizosomwa. Na hapo ndipo nilipogundua jinsi gani wanabambikia watu bili. Leo units 4 kwangu inamaanisha ni swala la wakati tu kabla hawajabambika units 10 zaidi.Dawasa hivi unit moja ya maji kwenu ni bei gani, maana nimeshangaa kuona kila mwezi bili inaongezeka wakati kwenye matumizi hakuna kilichoongezeka hapa kwangu, bili iliyoanzia 25k kwa mwezi ila mpaka leo hii nimetumiwa bili ya 65k kwa mwezi, pia mnakuja muda gani kusoma hizi mita au mnakadiria tu na kutuma kwa mteja?
Kwanini mnatupa mgao wa maji ubungo Riverside maeneo ya best point na Mandela Rd?Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.
Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)
DAWASCO HUDUMA KWA WATEJA 0800110064
DAWASCO ILALA 0743 451879
DAWASCO KAWE 0743 451861
DAWASCO KIBAHA 0743 451875
DAWASCO KIMARA 0743 451865
DAWASCO KINONDONI 0743 451863
DAWASCO BAGAMOYO 0743 451877
DAWASCO MAGOMENI 0743 451862
DAWASCO TEGETA 0743 451881
DAWASCO TABATA 0743 451867
DAWASCO TEMEKE 0743 451866
Mkuu jaribu kufunga bomba/ koki zote alafu angalia kama meter yako itakuwa inazunguka. Kama itakuwa inazunguka baada ya kufunga koki zote basi kutakuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa na leakage kwenye bomba lako mbele ya meter, hivyo tafuta fundi wa bomba akurekebishie leakages kwanza.Mita yangu inazunguka kwa speed kubwa, tupo watatu tu ndani ya nyumba kwa mwezi nalipa 18000 naomba marekebisho ya mita