Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasambaza kwa mabomba majumbaniembu nifafanulie huyo private supplier nitampata vipi?na yy anatumia maji kutoka vyanzo gani?na wao wanasambaza mabomba au unaletewa na magari?
Tena hadi katikati ya jiji Dar wenye maghorofa wengi baada ya kuona maji ya Dawasa mgogoro wana visima vyao na pump.zaoKUNA HAJA YA SERIKALI, KUWEKA MANAJEMENTI ZA WAHINDI, WACHINA KWENYE KUENDESHA HAYA MASHIRIKA.
NI RAHISI KUNUKUU SHERIA YA MWAKA FLANI, NA UKAACHA KUANGALIA HALI HALISI.
KUNA WATU WAMEWEKEZA KWENYE KUCHIMBA VISIMA KWA FEDHA NYINGI NA KUUZA MAJI KWA WENGINE. HII YOTE NI KWA SBB MAJI YA MAMALAKA SIO YA KUYATEGEMEA.KWAMBA MAJI YA VISIMA NI TEGEMO LA WENGI.