DOKEZO DAWASA yatoa notisi ya kusitisha usambazaji wa maji ya Visima kwa baadhi ya Maeneo ya Jiji la Dar es salaam

DOKEZO DAWASA yatoa notisi ya kusitisha usambazaji wa maji ya Visima kwa baadhi ya Maeneo ya Jiji la Dar es salaam

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sijaelewa,
Juzi wametangaza Kuna mgao wa maji,
halafu sahivi watu binafsi wanaambiwa wasisambaze maji! Hivi Alieturoga Nani?[emoji848]
 
embu nifafanulie huyo private supplier nitampata vipi?na yy anatumia maji kutoka vyanzo gani?na wao wanasambaza mabomba au unaletewa na magari?
Anasambaza kwa mabomba majumbani
Kachimba kisima kikubwa kafunga Mashine zake ana supply kwa wanataka

Dar es private suppliers wako kibao

Dar wako wengi tu..

Uliza eneo lako watakuwepo
 
KUNA HAJA YA SERIKALI, KUWEKA MANAJEMENTI ZA WAHINDI, WACHINA KWENYE KUENDESHA HAYA MASHIRIKA.
NI RAHISI KUNUKUU SHERIA YA MWAKA FLANI, NA UKAACHA KUANGALIA HALI HALISI.
KUNA WATU WAMEWEKEZA KWENYE KUCHIMBA VISIMA KWA FEDHA NYINGI NA KUUZA MAJI KWA WENGINE. HII YOTE NI KWA SBB MAJI YA MAMALAKA SIO YA KUYATEGEMEA.KWAMBA MAJI YA VISIMA NI TEGEMO LA WENGI.
Tena hadi katikati ya jiji Dar wenye maghorofa wengi baada ya kuona maji ya Dawasa mgogoro wana visima vyao na pump.zao
 
Halafu unakuta huyo fisi aliyeandika huo upuuzi anasimama anasema, "Polisi ni washenzi sana, hawana akili". Ila yeye upumbavu wake na taasisi yao hauoni. Nchi hii huwa tunawalaumu sana polisi lakini kimsingi taasisi na mamlaka za nchi hii zote zimeoza. Watu sio wabunifu, hawaumizwi na matatizo ya watu. Ni ushenzi, ushenzi
 
Back
Top Bottom