PostGE2025 Dayone: Nina jitoa rasmi kwenye movement ya kuhusu Maandamano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Joined
Dec 9, 2025
Posts
89
Reaction score
213
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanaharakati Dayonè Vladislaus Monson ameandika haya;

“Kwanza kabisa si kubaliani na mauaji Yaliyo fanyika October 29 na ngependa kuona wale Askari walio fanya mauaji waki wajibishwa , pili sikubaliani na Serekali ya SAMIA , yote mpaka wabunge ningependa kuona utekaji na mauaji yana pigwa marufuku hadharani na kwa ukali na kwa hatua kamilifu, katiba mpya na uchaguzi mpya uwe wa huru na HAKI , UFISADI NI JANGA KUBWA mno kwa haya sita nyamaza ila ningependa serekali irudishe HAKI YA SISI VIJANA KUFANYA SIASA ZA UPINZANI BILA HOFU YA KUTEKWA WALA KUULIWA WALA KUFUNGWA

Ningependa kuomba radhi kwa wote nilio wakosea hichi kipindi kasoro hawa WEMA SEPETU , Diamond, zuchu , Irene Paul, Queen Darleen . Halafu mimi siku lipwa kufanya hii movement kabisa Mimi ni pro life napenda kuona watu wanaishi si shangilii vifo hata Kama mtu ninae mchukia ina ni affect ki akili kuona wahamasishaji wanafurahia vifo vya Askari police Mimi iyo sio hitkadi zangu jana kuna mtu alisema Samia amefariki huku akifurahi iyo kitu imeniuma sipendi kuona watu wanafurahia watu kufa nikaona .!

Wito kwa serekali fanyeni mnavyo weza kurudisha Amani kwa watanzani na iyo amani itakuja pale wale walio husika kuua waTanzania waki wajibika kwa mujibu wa sheria .

Mungu bariki Tanzania

1765431942370.png
 
Sahihisho.. Tarehe 29/10 hakukuwa na maandamano Tanzania. Kulikuwa na ghasia zenye lengo kuharibu mali za umma, kupora mali kwa kisingizio Cha ukosefu wa ajira na mwisho kufanya mapinduzi ya Dola iliyowekwa madarakani kwa mujibu wa Sheria.

Hakuna ushahidi wowote wa maandamano kufanyika Tanzania. Watu waelewe na Dunia ielewe.
 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanaharakati Dayonè Vladislaus Monson ameandika haya;

“Kwanza kabisa si kubaliani na mauaji Yaliyo fanyika October 29 na ngependa kuona wale Askari walio fanya mauaji waki wajibishwa , pili sikubaliani na Serekali ya SAMIA , yote mpaka wabunge ningependa kuona utekaji na mauaji yana pigwa marufuku hadharani na kwa ukali na kwa hatua kamilifu, katiba mpya na uchaguzi mpya uwe wa huru na HAKI , UFISADI NI JANGA KUBWA mno kwa haya sita nyamaza ila ningependa serekali irudishe HAKI YA SISI VIJANA KUFANYA SIASA ZA UPINZANI BILA HOFU YA KUTEKWA WALA KUULIWA WALA KUFUNGWA

Ningependa kuomba radhi kwa wote nilio wakosea hichi kipindi kasoro hawa WEMA SEPETU , Diamond, zuchu , Irene Paul, Queen Darleen . Halafu mimi siku lipwa kufanya hii movement kabisa Mimi ni pro life napenda kuona watu wanaishi si shangilii vifo hata Kama mtu ninae mchukia ina ni affect ki akili kuona wahamasishaji wanafurahia vifo vya Askari police Mimi iyo sio hitkadi zangu jana kuna mtu alisema Samia amefariki huku akifurahi iyo kitu imeniuma sipendi kuona watu wanafurahia watu kufa nikaona .!

Wito kwa serekali fanyeni mnavyo weza kurudisha Amani kwa watanzani na iyo amani itakuja pale wale walio husika kuua waTanzania waki wajibika kwa mujibu wa sheria .

Mungu bariki Tanzania

wavimba_20251210_062702_0000.png
on saturday i got a little accident , lost my stuffs. so am kindly offline _20251203_082736_0000.png
 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanaharakati Dayonè Vladislaus Monson ameandika haya;

“Kwanza kabisa si kubaliani na mauaji Yaliyo fanyika October 29 na ngependa kuona wale Askari walio fanya mauaji waki wajibishwa , pili sikubaliani na Serekali ya SAMIA , yote mpaka wabunge ningependa kuona utekaji na mauaji yana pigwa marufuku hadharani na kwa ukali na kwa hatua kamilifu, katiba mpya na uchaguzi mpya uwe wa huru na HAKI , UFISADI NI JANGA KUBWA mno kwa haya sita nyamaza ila ningependa serekali irudishe HAKI YA SISI VIJANA KUFANYA SIASA ZA UPINZANI BILA HOFU YA KUTEKWA WALA KUULIWA WALA KUFUNGWA

Ningependa kuomba radhi kwa wote nilio wakosea hichi kipindi kasoro hawa WEMA SEPETU , Diamond, zuchu , Irene Paul, Queen Darleen . Halafu mimi siku lipwa kufanya hii movement kabisa Mimi ni pro life napenda kuona watu wanaishi si shangilii vifo hata Kama mtu ninae mchukia ina ni affect ki akili kuona wahamasishaji wanafurahia vifo vya Askari police Mimi iyo sio hitkadi zangu jana kuna mtu alisema Samia amefariki huku akifurahi iyo kitu imeniuma sipendi kuona watu wanafurahia watu kufa nikaona .!

Wito kwa serekali fanyeni mnavyo weza kurudisha Amani kwa watanzani na iyo amani itakuja pale wale walio husika kuua waTanzania waki wajibika kwa mujibu wa sheria .

Mungu bariki Tanzania

amejitoa FAM na mambo yanaenda sembuse wewe
 
Mi mwenyewe baada ya kufikiria kwa kina najitoa leo kwenye vugu vugu la maandamano
 
Amenusa harufu, kule aliko ni simple kudakwa, then waja wa Tz hawawakubali watu wa aina yake, ko hata akidakwa hawawezi msapoti, regardless yeye anawapambania, hivyo amesanuka mapemaa.
Lol.
 
“Kwanza kabisa si kubaliani na mauaji Yaliyo fanyika October 29 na ngependa kuona wale Askari ...jpg
“ (1).jpg

Anaandika Dayon
"Kwanza kabisa si kubaliani na mauaji Yaliyo fanyika October 29 na ngependa kuona wale Askari walio fanya mauaji waki wajibishwa , pili sikubaliani na Serekali ya SAMIA , yote mpaka wabunge ningependa kuona utekaji na mauaji yana pigwa marufuku hadharani na kwa ukali na kwa hatua kamilifu, katiba mpya na uchaguzi mpya uwe wa huru na HAKI , UFISADI NI JANGA KUBWA mno kwa haya sita nyamaza ila ningependa serekali irudishe HAKI YA SISI VIJANA KUFANYA SIASA ZA UPINZANI BILA HOFU YA KUTEKWA WALA KUULIWA WALA KUFUNGWA.
Ningependa kuomba radhi kwa wote nilio wakosea hichi kipindi kasoro hawa WEMA SEPETU , Diamond, zuchu , Irene Paul, Queen Darleen. Halafu mimi siku lipwa kufanya hii movement kabisa Mimi ni pro life napenda kuona watu wanaishi si shangilii vifo hata Kama mtu ninae mchukia ina ni affect ki akili kuona wahamasishaji wanafurahia vifo vya Askari police.
Mimi iyo sio hitkadi zangu jana kuna mtu alisema Samia amefariki huku akifurahi iyo kitu imeniuma sipendi kuona watu wanafurahia watu kufa nikaona .! Wito kwa serekali fanyeni mnavyo weza kurudisha Amani kwa watanzani na iyo amani itakuja pale wale walio husika kuua waTanzania waki wajibika kwa mujibu wa sheria . Mungu bariki Tanzania"​
 
View attachment 3514189View attachment 3514196

Simfahamu kabisa.
 
Back
Top Bottom