Extenal force labda jela. Lakini mwanzo ni wewe mwenyewe unatakiwa kutambua kwamba mimi nina tatizo na hii level niliyofikia I can't do it by myself, nahitaji msaada. Ndio hapo unatakiwa kuwa wazi kwa kila kitu na wataalamu wanafikiria wakusaidie vipi.
Nasema hivyo kwasababu personalisaly I have addiction, I can't hide it. Ukiniangalia huwezi jua kwasababu I look healthy and I'm very responsible man, lakini ukweli najua nina tatizo. Tatizo langu ni kwamba when I start I want to be high all the time, yaani ile never sober. Kwahiyo the solution kwangu mimi wanasema don't start.
Hakuna kitu ngumu kama ukiwa addicted, uko alone na unapesa mfokoni. Lakini I'm going strong day by day. Najua nitaenjoy kuwa high nikiwa holiday marafiki then back to normal