Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuu umenichekesha sana mpaka nimepaliwa na Unga/ugariiiKuna video niliona anasema amesomea urubani na sasa anaweza kurusha ndege...nikajua ni bangi hizo
NakaziaaaaaAddiction yoyote hakuna mtu wa kukuokoa ni jukumu lako mwenyewe kupambana nalo.
Two weeks ago nilikuwa Chuo cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na Event ya vipaji na ndipo nilikutana na Daz Baba Aisee huyu Jamaa amechoka Sana nadhani Pombe ndo zimemmaliza.
Kiufupi wasanii Kama hawa Kina Daz-Baba Walioimba nyimbo nzuri za kuhelimisha jamii wanabidi wakumbukwe na kusaidiwa.
Daz Baba A.k.A Daz Mwalimu punguza Pombe.
Pia huyu Daz Baba Nilikutana naye 2019 Tabata Kimanga kwao ukweli Bado hali yake sio nzuri kiukweli.
Daz baba ni mteja mkuu,pombe anakunywa siku nyingi tuPombe Mkuu hizo
Daz baba ni mteja mkuu,pombe anakunywa siku nyingi tu