Addiction yoyote hakuna mtu wa kukuokoa ni jukumu lako mwenyewe kupambana nalo.
ni kweli lakini kuna initiative/external force huwa ina saidia kiasi fulani, binadamu tunategemeana kwa namna moja au nyingine, wenye kuweza kumsaidia wamsaidie.
Msambwanda wa Buku JeroooAfu mnawaambia wasafi waimbe nyimbo za kuelimisha jamii?
Acha waimbe kulawitiana tu
Extenal force labda jela. Lakini mwanzo ni wewe mwenyewe unatakiwa kutambua kwamba mimi nina tatizo na hii level niliyofikia I can't do it by myself, nahitaji msaada. Ndio hapo unatakiwa kuwa wazi kwa kila kitu na wataalamu wanafikiria wakusaidie vipi.
Nasema hivyo kwasababu personalisaly I have addiction, I can't hide it. Ukiniangalia huwezi jua kwasababu I look healthy and I'm very responsible man, lakini ukweli najua nina tatizo. Tatizo langu ni kwamba when I start I want to be high all the time, yaani ile never sober. Kwahiyo the solution kwangu mimi wanasema don't start.
Hakuna kitu ngumu kama ukiwa addicted, uko alone na unapesa mfokoni. Lakini I'm going strong day by day. Najua nitaenjoy kuwa high nikiwa holiday marafiki then back to normal
Asinifanyie kama yale ya baruaa,,,[emoji445]Daz Baba nimeshakua mtu mzima mimi, sasa nahitaji mrembo wa kuishi nami... Kuzaa na kulea watoto nami... Kwenye shida na raha avumilie nami...
Daz baba ngada hali sema pombe ndo anapiga mbaya hadi kwenye interview anaenda kalewa, kuna interview moja ya global media alienda kalewa na interview ikapandishwa hewani ivyo ivyo na YouTube mkiingia ipo hadi najiuliza sometimes media nazo tatizo uwa zinatafuta content hadi kwenye matatizo , kwa mfano GODZILLA naye mara ya mwisho kabla ya mauti alikuwa analewa sana hadi kwenye interview ya mwisho clouds redio alienda amelewa na kipindi kikaendeahwa ivyo ivyo uku wakina Adam mchomvu wanamcheka na kumkejeli aisee izi media sometimes wanachangia matatizo ya wasaniiUnajuaje kama ni pombe ndiyo inamlostisha, vijana wengi haswa hawa wasanii wa bongo fleva wengi wao ni mateja tu
Bui bui artist fulani Bonge ivi?Daah inasikitisha sana bongo tumepoteza vipaji vingi sanaa sababu ya pombe na unga,tukianza kuhesabu tutajaza humu.
Hivi mnamkumbuka buibui?
Media za kibongo ni za kijinga haswa watangazaji wao. Kuna kademu wannabe ka Clouds media kanaitwa "Dolly au Jolly," kanaboa kishenzi. Yaani anatangaza kama vile hajitambui anaongea na watanzania wenzake ambao 99% ni Waswahili, yeye anatumia Kiingereza tena kile broken halafu anaona ujiko, anaweka r hata sehemu isiyo na r, mwenyewe anadai ni swagga, is she for real? Watangazaji wapuuzi kama hawa wako wengi mno hapa Bongo, full michosho tu.Daz baba ngada hali sema pombe ndo anapiga mbaya hadi kwenye interview anaenda kalewa, kuna interview moja ya global media alienda kalewa na interview ikapandishwa hewani ivyo ivyo na YouTube mkiingia ipo hadi najiuliza sometimes media nazo tatizo uwa zinatafuta content hadi kwenye matatizo , kwa mfano GODZILLA naye mara ya mwisho kabla ya mauti alikuwa analewa sana hadi kwenye interview ya mwisho clouds redio alienda amelewa na kipindi kikaendeahwa ivyo ivyo uku wakina Adam mchomvu wanamcheka na kumkejeli aisee izi media sometimes wanachangia matatizo ya wasanii
Tatizo kubwa linapoanzia kwa hawa vijana wetu ni kuwa wakishaanza kuimba imbi na kijipatia umashuhuri mdogo tu Pombe, Bangi na Unga huo ndio kula yao, acha yawakute tu. Wanashindwaje kufanya sanaa huku wakiwa na maisha ya kistaarabu?
Masikini Godzilla,king of Salasala,kuna Den anaitwa Doreen aka D Andy,alimpa stress sana mshikaji hadi kupelekea umauti wake!!Daz baba ngada hali sema pombe ndo anapiga mbaya hadi kwenye interview anaenda kalewa, kuna interview moja ya global media alienda kalewa na interview ikapandishwa hewani ivyo ivyo na YouTube mkiingia ipo hadi najiuliza sometimes media nazo tatizo uwa zinatafuta content hadi kwenye matatizo , kwa mfano GODZILLA naye mara ya mwisho kabla ya mauti alikuwa analewa sana hadi kwenye interview ya mwisho clouds redio alienda amelewa na kipindi kikaendeahwa ivyo ivyo uku wakina Adam mchomvu wanamcheka na kumkejeli aisee izi media sometimes wanachangia matatizo ya wasanii
We jina tu lenyewe unaona limekaaje??? Haya majina mara DAZ NUNDA.....DAZ BABA ......hayana upako. Mwisho lazima uwe hivyo.......Two weeks ago nilikuwa Chuo cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na Event ya vipaji na ndipo nilikutana na Daz Baba Aisee huyu Jamaa amechoka Sana nadhani Pombe ndo zimemmaliza.
Kiufupi wasanii Kama hawa Kina Daz-Baba Walioimba nyimbo nzuri za kuhelimisha jamii wanabidi wakumbukwe na kusaidiwa.
Daz Baba A.k.A Daz Mwalimu punguza Pombe.
Pia huyu Daz Baba Nilikutana naye 2019 Tabata Kimanga kwao ukweli Bado hali yake sio nzuri kiukweli.
Fanya mambo yakoTwo weeks ago nilikuwa Chuo cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na Event ya vipaji na ndipo nilikutana na Daz Baba Aisee huyu Jamaa amechoka Sana nadhani Pombe ndo zimemmaliza.
Kiufupi wasanii Kama hawa Kina Daz-Baba Walioimba nyimbo nzuri za kuhelimisha jamii wanabidi wakumbukwe na kusaidiwa.
Daz Baba A.k.A Daz Mwalimu punguza Pombe.
Pia huyu Daz Baba Nilikutana naye 2019 Tabata Kimanga kwao ukweli Bado hali yake sio nzuri kiukweli.
Pointi yako ni ipi sasa??Afu mnawaambia wasafi waimbe nyimbo za kuelimisha jamii?
Acha waimbe kulawitiana tu
Kusifiwa kuimba nyimbo za kuelimisha jamii huku hakuna deliverable yoyote ni ujuhaPointi yako ni ipi sasa??
Sijajua kama amekuwa mnene au laah alikuwa wa kawaida tu sio mwembamba wala mnene?Bui bui artist fulani Bonge ivi?
Sasa pombe ina ubaya gani?Madawa ya kulevya na pombe kali ni janga
Ndio hivyo Mkuu,jamaa alikuwa ameimba kutafuta pesa tu,na sio kuyaishi yale anayoyaimba.Kusifiwa kuimba nyimbo za kuelimisha jamii huku hakuna deliverable yoyote ni ujuha