Daz Baba siku hizi anakunywa Sana Pombe, kaisha kweli

Hili sio tatizo kwa wasanii tu, kuanzia uswahili mpaka huko kwa washua. Vijana, watu wazima, wanaume kwa wanawake washaharibikiwa kwa pombe na dawa za kulevya. Kama unaishi mjini sijui kama unahitaji darubini kuliona hili.
 

Ukishakuwa msanii wa muziki hususan bongo fleva automatic unakuwa teja wa haya mavitu Pombe Unga Sigara Bange Kuber na vingne vng
Sual hapo ni ww tu kuamua kutoshiriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…