kiongozi anatakiwa kuwa mtahimilivu na siyo nervous.Kweli ukiangalia kwa makini hakuna tusi isipokuwa ni kwamba DC amenesha kwamba amekerwa na comment ya L. Mpina kukiita kikao hicho ni kikao cha harusi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiongozi anatakiwa kuwa mtahimilivu na siyo nervous.Kweli ukiangalia kwa makini hakuna tusi isipokuwa ni kwamba DC amenesha kwamba amekerwa na comment ya L. Mpina kukiita kikao hicho ni kikao cha harusi.
Huyu DC katumwa.."Namuagiza Luhaga Mpina huko aliko kama yeye amesema hiki ni kikao cha harusi basi MWALI atakuwa yeye MPINA" Tarehe 29/05/2023 kwenye mkutano wa hadhara kijiji cha DALA.
atawataja tu waliomtuma.angekuwa JPM leo hii hangekuwa na huo U-DC i swear.Huyu DC katumwa..
Hata ally happy alijua yeye yupo kuliko hata uwepo wenyewe, kuchunga ulimi ni jambo jema sana kwakweli maana huwezi umtukanae leo kesho atakuwa nani kwako.Mkuu wa wilaya Rebeca Sanga nikuambie Luhanga Mpina ndiye Rais ajaye, linda ULIMI WAKO
nani kakueleza imeeditiwa au wewe ndo ume edit?acheni kutetea wahuni.meeditiwa DC hawezi kusema hayo maneno..anajua taratibu mnataka kumchafulia
Ni kweli, ila nimekuja kujifunza kwamba kumbe hawa watu wameanzia mbali na hilo bifu lao.kiongozi anatakiwa kuwa mtahimilivu na siyo nervous.
Mbona Sabaya,Hapi,Makonda,Mnyeti,Homera,Kihongosi,Chalamira na Bashiru Ally hawakufukuzwa kwenye vyeo?atawataja tu waliomtuma.angekuwa JPM leo hii hangekuwa na huo U-DC i swear.