Kweli ukiangalia kwa makini hakuna tusi isipokuwa ni kwamba DC amenesha kwamba amekerwa na comment ya L. Mpina kukiita kikao hicho ni kikao cha harusi.
"Namuagiza Luhaga Mpina huko aliko kama yeye amesema hiki ni kikao cha harusi basi MWALI atakuwa yeye MPINA" Tarehe 29/05/2023 kwenye mkutano wa hadhara kijiji cha DALA.
Hata ally happy alijua yeye yupo kuliko hata uwepo wenyewe, kuchunga ulimi ni jambo jema sana kwakweli maana huwezi umtukanae leo kesho atakuwa nani kwako.