Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Oppenheimer naye aliposema mikono yake ina damu, Truman alimtimua toka Ikulu ya Marekani. 😆😆Kaka mkubwa Poppy Hatonn karibu US tuzungumze habari za Oppenheimer na tafsiri ya Dhammapada kwenda Kiswahili.
Truman was like "You don't get to win this guilt Olympics, I take that medal"Oppenheimer naye aliposema mikono yake ina damu, Truman alimtimua toka Ikulu ya Marekani. 😆😆
Naona mnasapotiana wenyewe..Huyo Andrew kumuelewa unatakiwa uwe umetulia sana kiakili, unaweza kudhani jamaa hayuko vizuri kichwanu kumbe wewe ndie akili ndogo imeshindwa kumuelewa.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo tatizo halijafahamika?Amwambia aondoke kijijini asirudi kamwe.
Imetokea Jumatatu asubuh[juzi],huyu DC[sijawahi kumuona,wala sifahamu jina lake] amemtuma mtu kuniambia'' DC amesema kuna tatizo fulani limetokea na anataka wewe uondoke hapa''
Mimi nikasema hakuna tatizo lililotokea. Halafu yule jamaa akasema,''Okay. Nakwenda kumwambia DC kwamba umesema hakuna tatizo lililotokea""
Sasa yule jamaa alipoondoka mimi nikafikiri[ kwa dakika moja],halafu nikaamua kuondoka Butiama. Sasa nipo Arusha.
Again,DC wa Butiama amemfukuza kule mtoto wa Mwalimu Nyerere.
Kama kuna tatizo mtu anatakiwa kuniambia. Kuna tatizo.Kwa hiyo tatizo halijafahamika?
Kwa nini? Nimeshajibu. Yule mtu kasema kuna tatizo fulani,ondoka.Kwanin umefukuzwa [emoji23]
Pale ni kwenu lazima urudiKwa nini? Nimeshajibu. Yule mtu kasema kuna tatizo fulani,ondoka.
Sikutaka kukaa pale kubishana naye wakati yupo pale na wapambe wake. [Nilitaka kutumia neno lingine,lakin inadhani 'wapambe '' inatosha]
Poppy Hatonn unakubaliana na huyu mwandishi?
Hilo neno jingine ni chawa.Kwa nini? Nimeshajibu. Yule mtu kasema kuna tatizo fulani,ondoka.
Sikutaka kukaa pale kubishana naye wakati yupo pale na wapambe wake. [Nilitaka kutumia neno lingine,lakin inadhani 'wapambe '' inatosha]
Okay - pole. Kunguru huponywa na mabawa yake.Kama kuna tatizo mtu anatakiwa kuniambia. Kuna tatizo.
Unakumbuka jana au juzi au lini,ulifanya nini? Ulifanya hivi na hivi. Unabisha?
Kwa hiyo nakutaka uondoke kijijini.
Sasa I have not been charged with anything. Hata sijui nijibu nini.
Kwa hiyo I have to be silent. I have nothing to say.
Na hata kama yule mtu ananieleza complaint zake ni nini. I will only answer serious complaints. Siyo mambo ambayo watu wanazungumza kwa maskhara.
Kama mtu akiniita mimi mlevi wakati mimi siyo mlevi,ni kazi ya mtu mwingine kumwambia kwamba mimi siyo mlevi,siyo kazi yangu.