DC Butiama amfukuza mtoto wa Mwalimu Nyerere Butiama kijijini

DC Butiama amfukuza mtoto wa Mwalimu Nyerere Butiama kijijini

Kwa hiyo, kulikuwepo na "tatizo" ndio maana, baada ya kufikiri "kwa dakika moja" ukaamua kuondoka kijijini na kwenda Arusha.

Sasa itakuwaje, endapo DC wa huko Arusha na yeye akiamua mtoto aondoke huko!
Hapa Arusha hakuna matatizo. Kule Butiama zipo petty problems in the family zinazofanya haya matatizo yatokee.
People want money. Watu kila wanapokutukana "shenzi" wanapata shilingi milioni moja..
 
Kama kuna tatizo mtu anatakiwa kuniambia. Kuna tatizo.
Unakumbuka jana au juzi au lini,ulifanya nini? Ulifanya hivi na hivi. Unabisha?
Kwa hiyo nakutaka uondoke kijijini.
Sasa I have not been charged with anything. Hata sijui nijibu nini.
Kwa hiyo I have to be silent. I have nothing to say.
Na hata kama yule mtu ananieleza complaint zake ni nini. I will only answer serious complaints. Siyo mambo ambayo watu wanazungumza kwa maskhara.
Kama mtu akiniita mimi mlevi wakati mimi siyo mlevi,ni kazi ya mtu mwingine kumwambia kwamba mimi siyo mlevi,siyo kazi yangu.
Duuuu, nikiisoma hii kwa jicho la tatu nimeelewa kivngine kabisa...km mstaafu alieng'atuka kistaarabu

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Oppenheimer nimeitazama filamu yake, masaa matatu yaliyoshiba.
Pannasekara ameipamba Temple kwa nukuu za Dhammapada ambazo amezitafsiri Kiswahili.
Lakini I don't why you are harping on Oppenheimer. Huyu mtu ana uhusiano gani na kazi zetu?
Na yule Makamba nani kamfundisha metaphysics?
Naona anaandika mambo ya philosophy. Things exist. Or things do not exist. Or things neither exit nor do not exist.
 
DC amefanya over reaction.

Alipaswa kukuita akueleze anachokisikia ama kukifahamu kisha akupe haki ya kusikilizwa.

Anyways tuyaache. Vp US wanaendeleaje
Mkuu wa wilaya anataka kumuweka anayempenda yeye hapo bomani kwa Mwl.
 
Sawa, fanyeni Haraka.
Ndio jambo nililokuwa nafikiria jana nilipotazama CNN. Walikuwa wanasema the Ukraine-Russia conflict has no clear end in sight,jambo la kuwafanya watakatifu wa Mungu kutabasamu. How can the conflict have no clear in sight. Putin and Zelensky should be sent to a mental hospital.
Likewise Netanyahu and I don't know who is the leader of Hamas,should be sent to a mental hospital.
 
Back
Top Bottom