DC Butiama amfukuza mtoto wa Mwalimu Nyerere Butiama kijijini

DC Butiama amfukuza mtoto wa Mwalimu Nyerere Butiama kijijini

Hakuna mtoto wa Nyerere aliyekuwa O level 1985, labda kama alizaliwa nje ya ndoa.
Mkuu Gagi, Gagnija wewe unawajua watoto wote wa Nyerere?. Are you close family?.
We are Afrcan extended family, JK ana watoto 8!, unawajua wote!. Mtu kuwa mtoto wa Nyerere lazima azaliwe na Mama Maria?.
Tumesoma Tambaza na mtoto wa Nyerere alikuwa ana kaa hapo Msasani!.

P
 
Naona umekwepa kujibu swali la msingi uliloulizwa hapo. Kwa wenye utulivu wa akili, tayari umetoa jibu indirectly!

Turudi kwenye mada. Kama DC hamtaki mtoto wa baba wa taifa hapo "Butiama", si angemuondoa tu kistaarabu bila kelele zote hizi na kusingiziana ulevi?

Au wewe ni mmoja kati ha hao ambao"wakitukana shenzi, wanalipwa milioni"?
Nimeondoka kama vile nyumba inawaka moto.
Kukimbia matatizo ya mentally deranged people.
Mimi sina television( I can't afforf it).
Katika majira haya television itakuwa inamuonyesha DC stori ya Uhuru. Halafu unaniambia DC anataka kufanya nini?
 
Unasema DC kule ni mwanamke?
Well,wewe umenitukana sana hapa.
Baadaye labda nitaandika kitu hapa. Now I am too tired.
Wewe,take care of yourself.
Yani mpaka nacheka😂😂

Baba yako alikuwa Muasisi wa nchi hii tena jembe kweli kweli,halafu leo wanakufukuza nyumbani Mwitongo na wewe unakubali???

Mfuate Bi Mkubwa pale Msasani kuwa mnaonewa sana aongee na Samia mpewe äta kazi pale SGR,BOT,TPA au AirTanzania..........Mzee alikuwa mwema sana kama angekuwa ndio Jakaya leo nyie mngekuwa mnaishi Kifalme sana kwenye nchi hii
 
Ndiyo maana nikasema kama mtoto wa nje ya ndoa sina ubishi.

Mtoto wa mwisho wa Maria hiyo 1985 ashamaliza kidato cha sita, na akiwa chuo.
Mkuu Gagi, Gagnija ,usitake kutuharibia mchakato wetu wa kumtangaza Nyerere Mwenye Heri, nimekueleza sisi tunaishi extended families, sio kila mtoto wa Nyerere ni lazima amezaliwa na Julius na Mama Maria. Tumesoma Tambaza na mtoto wa Nyerere alikuwa anakaa Msasani kwa Mwalimu Nyerere.
P
 
Kama unalidhalilisha jina la baba wa taifa Basi Ana wajibu kukutimua Tena shukuru huyo dc wengine wangekuweka ndani Kisha mama ako asikie apate pressure afe ghaflaaa
 
Kwa hiyo, kulikuwepo na "tatizo" ndio maana, baada ya kufikiri "kwa dakika moja" ukaamua kuondoka kijijini na kwenda Arusha.

Sasa itakuwaje, endapo DC wa huko Arusha na yeye akiamua mtoto aondoke huko!
Tena mm Nina namba za dc wa Arusha namtonja kuwa jamaa yuko ahapa katimuliwa na dc huko musoma

So hta Happ akileta jeuri atimuliwe
 
Sio wanataka ni wameanza mchakato wa kumtangaza Mwenye Heri, na formula ya Mungu, ukiokolewa, unaokolewa na nyumba yako yote kama Nuhu kwenye safina, hivyo soon unakwenda kuwa ni mtoto wa Mtakatifu Julius Nyerere, na wewe utakatifu utakuingia ghafla hauta onekana kama mlevi fulani, Parokia ya St. Peter's itatengeneza Groto pale Msasani na Mwitongo, tutakuwa tunakwenda kuhiji, maana Nyerere ndie atakuwa Mtanzania wa kwanza kutangazwa Mtakatifu!. Watoto wake wote utakatifu utawaingia kwa njia ya upako Mtakatifu!..
P
Mnafki sana we mtu, kwani bila kujikombakomba kwa wakubwa huwezi kuishi?
 
Mkuu Gagi, Gagnija ,usitake kutuharibia mchakato wetu wa kumtangaza Nyerere Mwenye Heri, nimekueleza sisi tunaishi extended families, sio kila mtoto wa Nyerere ni lazima amezaliwa na Julius na Mama Maria. Tumesoma Tambaza na mtoto wa Nyerere alikuwa anakaa Msasani kwa Mwalimu Nyerere.
P
Mjomba pascal unataka kuniambia wewe pia dingi yako alikuwa ni mtu wa system kama wewe?
 
Mkuu Proved , hakuna codes zozote hapa, huyu Poppy Hatonn ndiye yule yule Big Brother wetu, mtoto wa Mwalimu tuliyanae humu, this is his 3rd name anabadili humu, kiukweli jamaa ni issue, usimuamini sana!.
Usikute wala sio kweli DC amemfukuza, ila ni mtu wa vituko sana!, usikute shauri ya vituko vyake DC akamwambia sitaki kukuona hapa ile kiutani utani, ila kwa mujibu wa katiba yetu, mtu yoyote akiwa ni threat to peace and tranquillity ya eneo husika, anaruhusiwa kufukuzwa na kuhamishwa kwa nguvu kutoka eneo hilo, ila wengi wa waliokuwa wanahamishwa ni wanga na wachawi, huyu sio mchawi ni msumbufu tuu kutokana na kuishi kwa utopian world ya metaphysical na mystical universe!.
P
Code imekua ngumu kwako 😂
 
Sio wanataka ni wameanza mchakato wa kumtangaza Mwenye Heri, na formula ya Mungu, ukiokolewa, unaokolewa na nyumba yako yote kama Nuhu kwenye safina, hivyo soon unakwenda kuwa ni mtoto wa Mtakatifu Julius Nyerere, na wewe utakatifu utakuingia ghafla hauta onekana kama mlevi fulani, Parokia ya St. Peter's itatengeneza Groto pale Msasani na Mwitongo, tutakuwa tunakwenda kuhiji, maana Nyerere ndie atakuwa Mtanzania wa kwanza kutangazwa Mtakatifu!. Watoto wake wote utakatifu utawaingia kwa njia ya upako Mtakatifu!..
P
Hehehe,sidhani kama unauongelea ule utakatifu.
 
Back
Top Bottom