vipik2
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,845
- 2,258
Aliyekuwa anasumbua na kuranda randa na farasi enzi zile za Mzee Batenga mitaa ya Ursino alikuwa Nani Vile?Anzia mwalimu na wanae hasa wavulana wakiwa wadogo enzi zile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekuwa anasumbua na kuranda randa na farasi enzi zile za Mzee Batenga mitaa ya Ursino alikuwa Nani Vile?Anzia mwalimu na wanae hasa wavulana wakiwa wadogo enzi zile.
Naona umekwepa kujibu swali la msingi uliloulizwa hapo. Kwa wenye utulivu wa akili, tayari umetoa jibu indirectly!Mkuu Shark , mimi sio wa Masaki ni wa Msasani, huyu jamaa kanizidi umri, mimi ni rika la mdogo wake tulikuwa same class Tambaza.
P
Ongea vizuri broo,haiwezekani ufukuzwe bila sababu,kuna namna,DC hawezi kukurupuka kumuonea raia bila sababuKama kuna tatizo mtu anatakiwa kuniambia. Kuna tatizo.
Unakumbuka jana au juzi au lini,ulifanya nini? Ulifanya hivi na hivi. Unabisha?
Kwa hiyo nakutaka uondoke kijijini.
Sasa I have not been charged with anything. Hata sijui nijibu nini.
Kwa hiyo I have to be silent. I have nothing to say.
Na hata kama yule mtu ananieleza complaint zake ni nini. I will only answer serious complaints. Siyo mambo ambayo watu wanazungumza kwa maskhara.
Kama mtu akiniita mimi mlevi wakati mimi siyo mlevi,ni kazi ya mtu mwingine kumwambia kwamba mimi siyo mlevi,siyo kazi yangu.
Batenga mtani wake Nyerere.Aliyekuwa anasumbua na kuranda randa na farasi enzi zile za Mzee Batenga mitaa ya Ursino alikuwa Nani Vile?
🙌🙌Hapana,hapana. Nafasi ya DC Butiama sasa hivi ni vacant.
Huwezi ku stand trial, you are incompetent. Established in decades-old government records.Kwa hiyo nakutaka uondoke kijijini.
Sasa I have not been charged with anything.
Unasema DC kule ni mwanamke?Huwezi ku stand trial, you are incompetent. Established in decades-old government records.
Obviously DC ni mtoto mdogo kuyajua haya lakini alishakuwa debriefed kutumia "busara" na sio sheria.
Tena mshukuru DC. Japo ameazima ukurasa kutoka kwenye kitabu cha Baba, she watered it down a bit. Baba yeye alipokuwa anahamisha problem citizens alikuwa anawakabidh kwa balozi wa shina na OCD. Wewe huko Arusha huna restraining orders usitoke wilayani au uripoti kwa balozi wa shina every freaking Monday morning.
Being the oldest scion of the longest running Tanzanian autocracy, few living citizens know these infamous chapters our history better than you.
Wewe umemwelewaje?Huyu Andrew kumuelewa unatakiwa uwe umetulia sana kiakili, unaweza kudhani jamaa hayuko vizuri kichwani kumbe wewe ndie akili ndogo imeshindwa kumuelewa.
Ambao hawajakuelewa hadi hapa ndugu Endrew watakuwa na matatizo makubwa sana😊😊😊Unasema DC kule ni mwanamke?
Well,wewe umenitukana sana hapa.
Baadaye labda nitaandika kitu hapa. Now I am too tired.
Wewe,take care of yourself.
Nime update DC Butiama amfukuza mtoto wa Mwalimu Nyerere Butiama kijijiniNaona umekwepa kujibu swali la msingi uliloulizwa hapo. Kwa wenye utulivu wa akili, tayari umetoa jibu indirectly!
Turudi kwenye mada. Kama DC hamtaki mtoto wa baba wa taifa hapo "Butiama", si angemuondoa tu kistaarabu bila kelele zote hizi na kusingiziana ulevi?
Au wewe ni mmoja kati ha hao ambao"wakitukana shenzi, wanalipwa milioni"?
Mdogo wake yupi uliyesoma naye Tambaza?!Mkuu Shark , mimi sio wa Masaki ni wa Msasani, huyu jamaa kanizidi umri, mimi ni rika la mdogo wake tulikuwa same class Tambaza.
P
Sio vizuri kutaja taja majina ya watu, ila Tambaza O- Level Class of 1982-85 tulikuwa class moja na mtoto wa Nyerere tena the same class na mtoto wa Ben, huku Binti Malecela na mtoto wa Mwinyi wakiwa A-level PCB!.Mdogo wake yupi uliyesoma naye Tambaza?!
Sijakutuna.Unasema DC kule ni mwanamke?
Well,wewe umenitukana sana hapa.
Baadaye labda nitaandika kitu hapa. Now I am too tired.
Wewe,take care of yourself.
Mwandiko wa hoja ni wa Mwalim Nyerere huu hasa Sentensi ya mwisho.Kama kuna tatizo mtu anatakiwa kuniambia. Kuna tatizo.
Unakumbuka jana au juzi au lini,ulifanya nini? Ulifanya hivi na hivi. Unabisha?
Kwa hiyo nakutaka uondoke kijijini.
Sasa I have not been charged with anything. Hata sijui nijibu nini.
Kwa hiyo I have to be silent. I have nothing to say.
Na hata kama yule mtu ananieleza complaint zake ni nini. I will only answer serious complaints. Siyo mambo ambayo watu wanazungumza kwa maskhara.
Kama mtu akiniita mimi mlevi wakati mimi siyo mlevi,ni kazi ya mtu mwingine kumwambia kwamba mimi siyo mlevi,siyo kazi yangu.
Infamous chapters? Hujasikia Vatican wanataka kumtangaza Mwalimu kuwa saint.Huwezi ku stand trial, you are incompetent. Established in decades-old government records.
Obviously DC ni mtoto mdogo kuyajua haya lakini alishakuwa debriefed kutumia "busara" na sio sheria.
Tena mshukuru DC. Japo ameazima ukurasa kutoka kwenye kitabu cha Baba, she watered it down a bit. Baba yeye alipokuwa anahamisha problem citizens alikuwa anawakabidh kwa balozi wa shina na OCD. Wewe huko Arusha huna restraining orders usitoke wilayani au uripoti kwa balozi wa shina every freaking Monday morning.
Being the oldest scion of the longest running Tanzanian autocracy, few living citizens know these infamous chapters our history better than you.
Hakuna mtoto wa Nyerere aliyekuwa O level 1985, labda kama alizaliwa nje ya ndoa.Sio vizuri kutaja taja majina ya watu, ila Tambaza O- Level Class of 1982-85 tulikuwa class moja na mtoto wa Nyerere tena the same class na mtoto wa Ben, huku Binti Malecela na mtoto wa Mwinyi wakiwa A-level PCB!.
P
Sio wanataka ni wameanza mchakato wa kumtangaza Mwenye Heri, na formula ya Mungu, ukiokolewa, unaokolewa na nyumba yako yote kama Nuhu kwenye safina, hivyo soon unakwenda kuwa ni mtoto wa Mtakatifu Julius Nyerere, na wewe utakatifu utakuingia ghafla hauta onekana kama mlevi fulani, Parokia ya St. Peter's itatengeneza Groto pale Msasani na Mwitongo, tutakuwa tunakwenda kuhiji, maana Nyerere ndie atakuwa Mtanzania wa kwanza kutangazwa Mtakatifu!. Watoto wake wote utakatifu utawaingia kwa njia ya upako Mtakatifu!..Infamous chapters? Hujasikia Vatican wanataka kumtangaza Mwalimu kuwa saint.
Which they can kama isingekuwa matatizo ya nicompoops kama huyu DC.