DC Godwin Gondwe awaomba radhi waandishi wa habari kufuatia DED wa Temeke kumkemea Richard wa ITV

Huyo atatumbuliwa sasa hivi.

Anashindwaje kusoma hulka ya boss wake?
 
Nyota ya Kimafanikio ya DC Godwin Gondwe ilianza Kuwakia hapo ITV na Radio One hivyo ningeshangaa kama asingejipendekeza Kwao kama hivi.
 

Mkurugenzi wa Temeke ndio mwenye biashara ya kuosha magari pale Kijitonyama kwa David? Asije kufikiria yuko kijiweni kwake😂😂😂😂
 
Huyo DED ajue tu kiburi si maungwa..vyeo vinamwisho
 
Mkurugenzi amejaa kiburi asilindwe! Achukuliwe hatua haraka [emoji1009]
 
Subiri utajua makonda yuko wapi usije ukaona aibu sio tena mkuu wa mkoa bali waziri
Tuwakumbushe watawala wa Afrika kuwa kushika hatamu haukufanyi ugeuke kuwa injinia, daktari, mhasibu, mwanasayansi au mtaalam zaidi! Power doesn’t suddenly increase your knowledge or qualify you to be anything more than you were! Waache u-much-know wawe humble!
 
Karma itamla tu,muda ni msema kweli.
Pole
Acha iliniuma na inaniuma sana na namuombea tu aondolewe au apelekwe vijijini hukooo!!!mjini hapamfai hata kidogo!!!yaani sio mtu huyu ni mnaafiki
 
Kwani waziri wa tamisemi anasemeje? Ooh hatuna baraza la mawaziri tunabana matumizi...
 
Vilongwa mbali vitendwa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…