Magema Jr
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,299
- 1,197
nakupongeza kwa kufanikisha hili👏👏 nakumbuka umepandisha uzi juzi tu hapa leo wamejibu🤗Sasa Gondwe anaomba radhi kwa kosa lipi alilofanya ? Sipokei msamaha huo kutoka kwa mtu asiyehusika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakupongeza kwa kufanikisha hili👏👏 nakumbuka umepandisha uzi juzi tu hapa leo wamejibu🤗Sasa Gondwe anaomba radhi kwa kosa lipi alilofanya ? Sipokei msamaha huo kutoka kwa mtu asiyehusika
Wamejibujenakupongeza kwa kufanikisha hili[emoji122][emoji122] nakumbuka umepandisha uzi juzi tu hapa leo wamejibu[emoji847]
Huyo Ded ni dead kweli, mshamba wa madaraka
Watu kama hao hawanaga historia yaa kuishi na amani
Alikuwepo mpuuzi mmoja anajiita Mungu wa Dar-Makonda leo yupo wapi?
Huyo atatumbuliwa sasa hivi.Mkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi.
Kiwanja cha shule hiyo kina mgogoro kati ya wananchi wa eneo hilo na manispaa ya Temeke.
Kadhalika mh Godwin Gondwe amewaomba radhi waandishi wa habari kote nchini kufuatia kitendo cha mkurugenzi wa manispaa ya Temeke kumkashifu mwandishi wa habari chipukizi wa ITV Richard Stephen kwamba hana hadhi ya kuongea naye na kwamba yeye hadhi yake ni mkurugenzi wa ITV Joyce Mhaville.
Source ITV.
cc: Erythrocyte, Gentamycine
Maendeleo hayana vyama!
Nyota ya Kimafanikio ya DC Godwin Gondwe ilianza Kuwakia hapo ITV na Radio One hivyo ningeshangaa kama asingejipendekeza Kwao kama hivi.Mkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi.
Kiwanja cha shule hiyo kina mgogoro kati ya wananchi wa eneo hilo na manispaa ya Temeke.
Kadhalika mh Godwin Gondwe amewaomba radhi waandishi wa habari kote nchini kufuatia kitendo cha mkurugenzi wa manispaa ya Temeke kumkashifu mwandishi wa habari chipukizi wa ITV Richard Stephen kwamba hana hadhi ya kuongea naye na kwamba yeye hadhi yake ni mkurugenzi wa ITV Joyce Mhaville.
Source ITV.
cc: Erythrocyte, Gentamycine
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi.
Kiwanja cha shule hiyo kina mgogoro kati ya wananchi wa eneo hilo na manispaa ya Temeke.
Kadhalika mh Godwin Gondwe amewaomba radhi waandishi wa habari kote nchini kufuatia kitendo cha mkurugenzi wa manispaa ya Temeke kumkashifu mwandishi wa habari chipukizi wa ITV Richard Stephen kwamba hana hadhi ya kuongea naye na kwamba yeye hadhi yake ni mkurugenzi wa ITV Joyce Mhaville.
Source ITV.
cc: Erythrocyte, Gentamycine
Maendeleo hayana vyama!
Tuwakumbushe watawala wa Afrika kuwa kushika hatamu haukufanyi ugeuke kuwa injinia, daktari, mhasibu, mwanasayansi au mtaalam zaidi! Power doesn’t suddenly increase your knowledge or qualify you to be anything more than you were! Waache u-much-know wawe humble!Subiri utajua makonda yuko wapi usije ukaona aibu sio tena mkuu wa mkoa bali waziri
Umedandia gari kwa mbeleHuyo DC ni wa kufukuza kazi kabisa, sijui anajiona nani
Umesemaaaa?!Huyo DC ni wa kufukuza kazi kabisa, sijui anajiona nani
Acha iliniuma na inaniuma sana na namuombea tu aondolewe au apelekwe vijijini hukooo!!!mjini hapamfai hata kidogo!!!yaani sio mtu huyu ni mnaafikiKarma itamla tu,muda ni msema kweli.
Pole
Mkurugenzi ni mtu wa Kanda ya Ziwa na anatoka katika lile kabila "tukufu" kwa awamu hii.....
Ndio wateule wetu hao wamefanyiwa vetting na kupewa dhamana na mamlaka ya uteuzi[emoji41]
Kongole kwake mh.Gondwe....
Wewe tunaufahamu UZALENDO HEKIMA BUSARA NA HESHIMA ZAKO....
Hakika huo ndio USTAARABU kwani taifa letu hili haliwezi kurudi nyuma kwa baadhi ya watu KUTOLEWA LUGHA ZA KASHFA NA ZILIZOKOSA UTU NA HESHIMA....
CCM imelijenga taifa hili ndani ya imani kuu 3:
1.Binadamu wote ni sawa
2.Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.
3.Ujamaa na kujitegemea ndio njia sahihi ya KUJENGA JAMII iliyo sawa na huru.
Kudos mh.Double G
MAENDELEO HAYANA VYAMA
Mataga ni makitu gani?
Mwakibibi kanda ya Ziwa Mkuu? SidhaniMkurugenzi ni mtu wa Kanda ya Ziwa na anatoka katika lile kabila "tukufu" kwa awamu hii.....