DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

Huyo anayefokewa kama mtoto mdogo ni PhD holder, mwalimu wa Hesabu Chuo kikuu mlimani. Ona jinsi wanasiasa wanavyogeuza wasomi wetu kama wanasesere!

Yaani PhD holder anajambishwa mavi na certificate holder tena mwandishi wa Habari ambaye ni kanjanja....Aibu sana!.
Ni walewale kina Makonda a.k.a Bashite DIV-0 kuwatawala Doctors na Engineers...wapi na wapi?Huu ni Utawala wa sera za AKILI NDOGO kuongoza AKILI KUBWA!!!
 
Huyo dogo inabidi amuombe msamaha mbele ya waandishi wa habari
 
UMESAHAU KUWA MNYETI ALIKULA SHAVU KUTOKEA HUKO MERU? JAMAA NAYE ANATAKA KUTOKEA HAPOHAPO
 
Waache wauwane wote toto ya baba moja.
 
Huyu jiwe anavyopenda sifa anaweza asichukue hatua
Natumaini Mhe. Rais ameona hiyo clip. Katika dhana ya Utawala Bora kitendo kama hicho hakivumiliki hata kidogo. Tena DED ni mtu mwenye PhD ni mtu wa kuheshimiwa.
 
Nafikiri kasahau maneno ya katibu Mkuu Tamisemi Madc wanaenda kugombana na wabunge wenyeviti wa halmashauri wakurugenzi Muro anataka urc
 
Nimesikitika kuona mwalimu wangu wa hesabu akidhalilishwa hivi mbele za watu. Bora angebaki zake Udsm aendelee kufundisha
 

Kwa kifupi itakuwa ni zamu yao ya KUPATA TAABU SANA TENA SANA.....maana wahenga walisema aliyeko juu mngojee chini!!.
 
Kuna kauli Jerry kaongea akimwambia DED 'usinidharau',binafsi naona Jerry ana inferiority complex kwa jamaa na hiyo bila shaka ndiyo inamfanya ahamaki bila sababu ya msingi.

Inaonyesha jamaa kamzidi kila kitu,elimu,uchumi na probably kukubalika na watumishi katika collidor za halmashauri.
 
Kisa hujateuliwa hahahaaaa chama bomu hili
Sio sahihi kumuita Presidential appointee mwenzako mpuuzi mbele ya uma.

Hii ni mara ya pili naona Mh. DC anateleza,

Hapa nimeomba akumbushwe tu kubehave, sijaomba atumbuliwe, kuna tofauti kubwa sana katika hayo mawili.
 
Mambo ya aibu sana...ametuangusha vijana.
 
Taitizo ni kuteua viongozi kwa mihemko na sifa ,eti wakitukana wapinzani wakikusifia ndio unawateua hii si busara,kuna vyuo vinatoa viongozi kama Hombolo au basi akiwateua awape semina,tunalekea kubaya sana
 

Kudos..!
 
Nimesikitika kuona mwalimu wangu wa hesabu akidhalilishwa hivi mbele za watu. Bora angebaki zake Udsm aendelee kufundisha
Mwaka gani alikupigia nondo pale kilimani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…