DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

Huyo anayefokewa kama mtoto mdogo ni PhD holder, mwalimu wa Hesabu Chuo kikuu mlimani. Ona jinsi wanasiasa wanavyogeuza wasomi wetu kama wanasesere!

Yaani PhD holder anajambishwa mavi na certificate holder tena mwandishi wa Habari ambaye ni kanjanja....Aibu sana!.
Ni walewale kina Makonda a.k.a Bashite DIV-0 kuwatawala Doctors na Engineers...wapi na wapi?Huu ni Utawala wa sera za AKILI NDOGO kuongoza AKILI KUBWA!!!
 
Na Malisa GJ

Mkuu wa Wilaya Jerry Muro anamtukana Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha DC, Dr.Wilson Mahela (PhD) mbele ya Mkuu wa mkoa na macamera ya waandishi wa habari yanawamulika. Uongozi wa kijinga sana huu. Kanuni za maadili ya uongozi haziruhusu kufanya huu utoto. Kama Mkurugenzi alichelewa kufika, kuna namna bora ya kumuwajibisha ambayo ingekua na tija kuliko huu ujinga uliofanya Jerry. Tatizo mnateuliwa teuliwa tu bila hata kupewa semina elekezi.

Mtu hajawahi kuwa hata CR darasani leo anakuwa DC ama RC what do u expect? Matokeo yake ndio haya ya kuja kutukanana hadharani na mnaona sifa kurekodiwa. Halafu wewe Jerry sio mamlaka ya nidhamu ya DED. Pengine huo uDC umekulevya. Mamlaka ya nidhamu ya DED ni RAS. Kwahiyo kama alichelewa ungeweza kuzungumza nae baadae na kumueleza masikitiko yako, na kama angekaidi ungemripoti kwa RAS. Sio kutukanana hadharani.

Unamtukana DED na kumuita mpuuzi na mpumbavu hadharani, halafu unategemea awasimamie watendaji wa Halmashauri. How that possible? Atawasimamiaje wakati wameona akiitwa mpuuzi na mpumbavu hadharani? Na wenyewe watampuuza tu kama ulivyompuuza wewe. Ni aibu viongozi kuzozana hadharani. Wahenga walisema wazazi wapumbavu pekee ndio wanaoweza kugombana mbele ya watoto. Kulikua na tatizo gani mngeendelea na hiyo ziara then badae mkae na kujadili?

Halafu kichekesho unamlaumu DED kwa kuchelewa dakika 10, lakini wewe umepoteza dakika nyingi zaidi kumtukana. Hivi lengo lako lilikua kuokoa muda kweli?

Huyu Dr.Wilson Mahela ni PhD holder. Amefundisha chuo kikuu UDSM muda mrefu wakati wewe ukifanya ukanjanja kwenye media. Amekuzidi umri, amekuzidi elimu, amekuzidi busara. Kama umeshindwa kumheshimu kwa nafasi yake basi ungemheshimu hata kwa umri wake tu.

Then huyo DED unayemdhalilisha ndo anayekuweka mjini. Tunajua maDC hamna budget. Mnalelewa na ofisi za DED kwa kila kitu. Hadi mafuta ya gari mnaomba kwao. Sasa how comes unamdhalilisha mtu anayekufanya usurvive? Kesho ukimuomba mafuta akikunyima utamfanya nini? Au ndo utaita tena macamera uanze kumtukana? Growup na uache sifa za kijinga. Uongozi ni kujifunza. Take time to learn from your elders kabla ya kukurupuka. Unajidhalilisha na kumdhalilisha aliyekuteua.!
Huyo dogo inabidi amuombe msamaha mbele ya waandishi wa habari
 
UMESAHAU KUWA MNYETI ALIKULA SHAVU KUTOKEA HUKO MERU? JAMAA NAYE ANATAKA KUTOKEA HAPOHAPO
 
Waache wauwane wote toto ya baba moja.
 
Huyu jiwe anavyopenda sifa anaweza asichukue hatua
Natumaini Mhe. Rais ameona hiyo clip. Katika dhana ya Utawala Bora kitendo kama hicho hakivumiliki hata kidogo. Tena DED ni mtu mwenye PhD ni mtu wa kuheshimiwa.
 
Nafikiri kasahau maneno ya katibu Mkuu Tamisemi Madc wanaenda kugombana na wabunge wenyeviti wa halmashauri wakurugenzi Muro anataka urc
 
Nimesikitika kuona mwalimu wangu wa hesabu akidhalilishwa hivi mbele za watu. Bora angebaki zake Udsm aendelee kufundisha
 
Kwa mtu anayejua umuhimu wa DC, anapata tabu sana akiona wanaoteuliwa kuwa DCs leo hii. Uharibifu ulianzia kwa utawala wa awamu ya awamu ya pili. Na dhambi walizozifanya watawala waliotangulia ndizo zinawafanya wakae kimiya katika lundo la uovu wa watawala wa sasa. Nani wa kumshauri rais? Mtu aliyewahi kuwa kiongozi mkuu wa nchi, aliyestahili kuheshimu katiba ya nchi, aliyestahili kuwaona watu wote ni sawa, anasimama kutetea chama chake na kuwaona wenye mawazo tofauti na chama chake ni wapumbavu, mazuzu, na hilo analionea fahari.
Sasa wajue kama katiba inachezewa kiasi hiki na marais wastaafu wapo na wanakaa kimya wakumbuke, ipo siku katiba itachezewa kwa kuwaondelea kinga walizonazo katika katiba hiyo wanayoichezea sasa. na wao watalipa kwa gharama kubwa sana.

Kwa kifupi itakuwa ni zamu yao ya KUPATA TAABU SANA TENA SANA.....maana wahenga walisema aliyeko juu mngojee chini!!.
 
Kuna kauli Jerry kaongea akimwambia DED 'usinidharau',binafsi naona Jerry ana inferiority complex kwa jamaa na hiyo bila shaka ndiyo inamfanya ahamaki bila sababu ya msingi.

Inaonyesha jamaa kamzidi kila kitu,elimu,uchumi na probably kukubalika na watumishi katika collidor za halmashauri.
 
Kisa hujateuliwa hahahaaaa chama bomu hili
Sio sahihi kumuita Presidential appointee mwenzako mpuuzi mbele ya uma.

Hii ni mara ya pili naona Mh. DC anateleza,

Hapa nimeomba akumbushwe tu kubehave, sijaomba atumbuliwe, kuna tofauti kubwa sana katika hayo mawili.
 
Na Malisa GJ

Mkuu wa Wilaya Jerry Muro anamtukana Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha DC, Dr.Wilson Mahela (PhD) mbele ya Mkuu wa mkoa na macamera ya waandishi wa habari yanawamulika. Uongozi wa kijinga sana huu. Kanuni za maadili ya uongozi haziruhusu kufanya huu utoto. Kama Mkurugenzi alichelewa kufika, kuna namna bora ya kumuwajibisha ambayo ingekua na tija kuliko huu ujinga uliofanya Jerry. Tatizo mnateuliwa teuliwa tu bila hata kupewa semina elekezi.

Mtu hajawahi kuwa hata CR darasani leo anakuwa DC ama RC what do u expect? Matokeo yake ndio haya ya kuja kutukanana hadharani na mnaona sifa kurekodiwa. Halafu wewe Jerry sio mamlaka ya nidhamu ya DED. Pengine huo uDC umekulevya. Mamlaka ya nidhamu ya DED ni RAS. Kwahiyo kama alichelewa ungeweza kuzungumza nae baadae na kumueleza masikitiko yako, na kama angekaidi ungemripoti kwa RAS. Sio kutukanana hadharani.

Unamtukana DED na kumuita mpuuzi na mpumbavu hadharani, halafu unategemea awasimamie watendaji wa Halmashauri. How that possible? Atawasimamiaje wakati wameona akiitwa mpuuzi na mpumbavu hadharani? Na wenyewe watampuuza tu kama ulivyompuuza wewe. Ni aibu viongozi kuzozana hadharani. Wahenga walisema wazazi wapumbavu pekee ndio wanaoweza kugombana mbele ya watoto. Kulikua na tatizo gani mngeendelea na hiyo ziara then badae mkae na kujadili?

Halafu kichekesho unamlaumu DED kwa kuchelewa dakika 10, lakini wewe umepoteza dakika nyingi zaidi kumtukana. Hivi lengo lako lilikua kuokoa muda kweli?

Huyu Dr.Wilson Mahela ni PhD holder. Amefundisha chuo kikuu UDSM muda mrefu wakati wewe ukifanya ukanjanja kwenye media. Amekuzidi umri, amekuzidi elimu, amekuzidi busara. Kama umeshindwa kumheshimu kwa nafasi yake basi ungemheshimu hata kwa umri wake tu.

Then huyo DED unayemdhalilisha ndo anayekuweka mjini. Tunajua maDC hamna budget. Mnalelewa na ofisi za DED kwa kila kitu. Hadi mafuta ya gari mnaomba kwao. Sasa how comes unamdhalilisha mtu anayekufanya usurvive? Kesho ukimuomba mafuta akikunyima utamfanya nini? Au ndo utaita tena macamera uanze kumtukana? Growup na uache sifa za kijinga. Uongozi ni kujifunza. Take time to learn from your elders kabla ya kukurupuka. Unajidhalilisha na kumdhalilisha aliyekuteua.!
Taitizo ni kuteua viongozi kwa mihemko na sifa ,eti wakitukana wapinzani wakikusifia ndio unawateua hii si busara,kuna vyuo vinatoa viongozi kama Hombolo au basi akiwateua awape semina,tunalekea kubaya sana
 
Kuna kauli Jerry kaongea akimwambia DED 'usinidharau',binafsi naona Jerry ana inferiority complex kwa jamaa na hiyo bila shaka ndiyo inamfanya ahamaki bila sababu ya msingi.

Inaonyesha jamaa kamzidi kila kitu,elimu,uchumi na probably kukubalika na watumishi katika collidor za halmashauri.

Kudos..!
 
Nimesikitika kuona mwalimu wangu wa hesabu akidhalilishwa hivi mbele za watu. Bora angebaki zake Udsm aendelee kufundisha
Mwaka gani alikupigia nondo pale kilimani?
 
Back
Top Bottom