Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Wewe usitake niamini yule mdau alisema tusikuamini kwenye moja ya uzi humu!Ushauri wangu tusimjadili Jerry Muro huku mioyoni mwetu tukiwa tumetawaliwa na itikadi zetu za Uchama / Usiasa bali tumjadili Kiutendaji zaidi. Ndiyo anaweza akawa ana mapungufu yake kama Binadamu yoyote yule ila nasi pia tusisahau kwamba Watendaji wengi wa Serikalini katika ngazi mbalimbali walikuwa wameshajisahau, wamelemaa na kuzifanya Ofisi za Serikali kama vile ni kwa Wajomba na Shangazi zao. Kwa maoni yangu ni mapema mno kama siyo sana kuanza kusema kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro hafai / hatoshei katika hiyo nafasi.
Sometime unaongea P sometime unaongea P
Fist P-pumba
Second P-point
Jitathimini mshikaji wangu!