DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

Ushauri wangu tusimjadili Jerry Muro huku mioyoni mwetu tukiwa tumetawaliwa na itikadi zetu za Uchama / Usiasa bali tumjadili Kiutendaji zaidi. Ndiyo anaweza akawa ana mapungufu yake kama Binadamu yoyote yule ila nasi pia tusisahau kwamba Watendaji wengi wa Serikalini katika ngazi mbalimbali walikuwa wameshajisahau, wamelemaa na kuzifanya Ofisi za Serikali kama vile ni kwa Wajomba na Shangazi zao. Kwa maoni yangu ni mapema mno kama siyo sana kuanza kusema kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro hafai / hatoshei katika hiyo nafasi.
Wewe usitake niamini yule mdau alisema tusikuamini kwenye moja ya uzi humu!

Sometime unaongea P sometime unaongea P
Fist P-pumba
Second P-point

Jitathimini mshikaji wangu!
 
Wewe usitake niamini yule mdau alisema tusikuamini kwenye moja ya uzi humu!

Sometime unaongea P sometime unaongea P
Fist P-pumba
Second P-point

Jitathimini mshikaji wangu!

Umepoteza muda wako kulijibu Hilo li hopeless creature!!! Post zake zinatia kinyaa!!
 
Wewe usitake niamini yule mdau alisema tusikuamini kwenye moja ya uzi humu!

Sometime unaongea P sometime unaongea P
Fist P-pumba
Second P-point

Jitathimini mshikaji wangu!

Siko hapa JamiiForums ama Kumfurahisha fulani au Kumuudhi fulani katika maandiko au mabandiko yangu sawa? Stupid! Wewe ni nani hadi unipangie Mimi cha Kuandika hapa? Unaninunulia bando langu? Stupid! Nadhani wa kumuambia ajitathmini ni ' Mamaako ' kwani ametuletea Kiumbe wa ' hovyo hovyo ' Wewe hapa duniani.

Nasubiri urudi ili nimalize Kazi kabisa kwani nimekuvumilia vya Kutosha na hujaanza ' Kunitafuta / Kunichokonoa ' leo na nilikuwa nakutafutia tu ' timing ' na bahati nzuri leo umejaa. Kama huniamini Mimi unanipunguzia nini? Kuna Kombe lolote hapa JF ambalo Member anapewa kwa ama Kuaminika au Kutoaminika Kwake? Kuna Mtu ambaye nikiwa naanzisha ama Uzi au naandika Bandiko langu huwa namlazimisha ama aufungue au alisome?

Na ujumbe huu uwafikie Wapuuzi wenzako wote.
 
Kawa too much mpaka sasa haipendezi kuanza kuijenga CV yako kisiasa kwa mambo ya ajabu ipo siku mbeleni itamu mu cost kabisa. Anayo nafasi ya Ku change au ugeni wa cheo unamsumbua.
ataacha akikua naona bado anakua
 
Umepoteza muda wako kulijibu Hilo li hopeless creature!!! Post zake zinatia kinyaa!!

" Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ". Na ninachojua tu ni kwamba Ronaldo hawezi Kumchukia Messi kama huwa hamtizami pale akiwa anacheza Uwanjani na ukiona anamchukia sana jua kuna vitu adimu ambavyo amezidiwa naye hivyo chuki Kwake lazima iwepo tu. Na ni kweli amepoteza muda wake kunijibu ila sijui na Wewe umepoteza kitu gani katika Kunijadili / Kunizungumzia Mimi. Yaani kama kuna Watu ambao ni Wapumbavu hapa duniani nadhani Wewe unaongoza na ndiyo maana huwa ' nawadharau ' mno tu.
 
Washamba wanazidi kuongezeka kwenye utawala
Kuna vitu fulani huwa na note kum-clasify mtu na ushamba au ujanja wake.... true kwa Muro ni ushamba wa viwango vya kurusha dreamliner!
 
DED fala yule mkuu wa wilaya wala hawezi kumtumbua kurugenzi pale ilitakiwa mkirugenzi na yeye avimbe
DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile

Huu ndio mfano wa maudhui wa kale kawimbo kanakoitwa 'Madaraka ya Kukevya'
 
Hii ni matokeo ya viongozi kuteuliwa kwa kuokotezwaokotezwa tu. No mafunzo kama ya Kivukoni no nothing!
Hivi sasa ni full kujipendekeza kwa Jiwe. Sio siri tena kwamba hadhi ya u.DC na u.RC imeshuka sana. Why? Aina ya watu wanaoteuliwa.

Ukifaulu ukichaa wa wilaya unapandishwa kuwa chizi wa mkoa!! Ni zama za machizii. Muroooohoooo, chapa kazi. Imagine jinsi anavyowafokea das, watendaji wa vijijini, makarani, nk.... Madaraka ya kulefyaaaa....!

Angeweza kuongea nae kwa faragha na wakawekana sawa. Kuongea mbele ya media ni kutaka sifa na unnecessary attention. Ujinga mtupu. Wateule wa hii regime mhhhhhhh. Wengi wanakosa busara, hekima, uungwana na uvumilivu.
Muroooho anasahau kwamba huo u.DC ni cheo cha kupita tu. Shame on him. Little brat. Too much tantrums.
 
Weka clip tuisikie au fafanua vizuri, kamtukana nani na wapie
 
What a shame. It seams he is runing for district commissioner
 
Ni kero kuona viongozi wakicheza na kamera ili waonekane na Rais.
Wahenga walisema Debe tupu haliachi kuvuma.
 
Nimeamini ndege wa aina moja uruka pamoja, matusi, kejeli au kujiona unajua sana na dharau ni moja la anguko la wengi.
 
Hawa vichaa wa mkulu ni wa kupiga ngumi za pua tu! Ukiwaendekeza watakupanda mabegani hawa!
 
Itakuja itokee sikumoja viongozi wetu hawa wazichape kavukavu. Ngoja tusubiri.
 
Back
Top Bottom