DC Jokate, huu ni muda sasa wa kubadili aina ya mavazi yako

Mkuu umuoe anatafuta bwana kwa nguvu zote na amewahi kusema waziwazi, huyo hata boda anamuona maana ana kiu ya kuolewa lakini hapati mwanaume, japo ni mjane mdogo wa taifa lakini ndiyo hivyo tena.
Ha ha ha! Mkuu!!! Mjane mdogo wa taifa!!!
 

👆Hilo jicho linatazama nini tena kwenye kifua cha watu! Hili ni jicho la kidadisi na mwenyewe wala hajui kinachoendelea, yupo na camera tu😂🤣😂!
 
Sijaona kasoro katika mavazi yake labda kosa kumuiga Mzee wa Bunda
 
Japokuwa hajaolewa ndugu yangu Una lako jambo wewe ushakuwa ndugai sasa unataka atolewe mbona huyu ni dada na mavazi yake ni suti nzuri tuu
 
Mbona matiti hayaonekani? Mkuu, ukisoma comments zote hapa, utagundua kuwa wewe ndiye mwenye mtizamo wenye makosa...
JF wengi ni liberals, ila mtaani kuna conservatives wengi ambao hawapendi wanawake waache vifua wazi in public, Hata muongozo wa mavazi ya watumishi wa umma unakataza mwanamke kuacha kifua wazi
 
Kwako DC Jokate

Kwanza nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya, binafsi nakukubali sana aina ya uongozi wako, umefanya kazi nzuri sana huko Kisarawe.

Pia, sina wasiwasi kuwa hata hapa Dar ulipohamishiwa katika wilaya ya Temeke utafanya vizuri...
Huyu mmatengo ananikosha sanaa
 
Muongozo wa Mavazi ya Watumishi wa Umma unakataza KUACHA KIFUA WAZI, Jokate anavaa suti yes lakini anaacha kifua wazi!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…