DC Jokate Mwengelo na Shaka Hamdu Shaka katika kongamano la kumpongeza Rais Samia kwa uchapakazi uliovunja rekodi zote

Wakati BAVICHA wao wanatafuta katiba Mpya wenzako huku wanatafuta wanachama siku ya Uchaguzi utasikia tumeibiwa, Sasa sijui wataibiwa kura au katiba
Aiseee mbona una leta fedheha ....kwa hali ilivyo Katiba mpya ina manufaa zaidi kwa Watanzania na serikali ya ccm
 
Wakati BAVICHA wao wanatafuta katiba Mpya wenzako huku wanatafuta wanachama siku ya Uchaguzi utasikia tumeibiwa, Sasa sijui wataibiwa kura au katiba
Katiba vs Wanachama ni wepi wanaitakia mema nchi? au nyie ndiyo kundi inayoona urefu wa pua?
 
Wakati BAVICHA wao wanatafuta katiba Mpya wenzako huku wanatafuta wanachama siku ya Uchaguzi utasikia tumeibiwa, Sasa sijui wataibiwa kura au katiba
Uchawa ni kazi ngumu sana. Hao Chadema watapita barabara gani kutafuta hao Wanachama wapya?
 
Rekodi ya kutuchotesha maji kwa kichwa kama tuko Kibondo Kigoma
 
Back
Top Bottom