Aiseee mbona una leta fedheha ....kwa hali ilivyo Katiba mpya ina manufaa zaidi kwa Watanzania na serikali ya ccmWakati BAVICHA wao wanatafuta katiba Mpya wenzako huku wanatafuta wanachama siku ya Uchaguzi utasikia tumeibiwa, Sasa sijui wataibiwa kura au katiba