Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Huyo uliyetaja anawatia hadi vibao mawaziri wake na matusi juu,muulize Kabudi.Hivi huyo mpumbavu alishaona Magufuli anacharaza watu viboko?
Je bila kuwacharaza viboko wasingelipa hiyo hela? Huu ni upuuzi wa hali ya juu sema tu wengi hawajaelimika, huyu alikua ni wa kufungulia mashtaka kabisa, yeye anapiga mtu kama nani? Ni mahakama au?
huyu dogo nilifikiri katuliamo kichwani kumbemo mtupuMkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.
Kihongosi amesema fedha hizo zitatumika kutengeneza madawati mapya.
Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kaibe na wewe halafu utueleze Sheria ipi inaruhusu kuiba.Mpuuzi huyu sheria ipi inamruhusu kuchapa? Ataingia kwenye anga zangu niisambaze hiyo receiption.
Wangesumbua Sana, ila baada ya bakora kila mtu aliwahi kwenye kibubu kuhofia kula bakora Tena.Ina maana bila kuwachapa wasingelipa hiyo fidia?
Tanzania inapitia kipindi kigumu sana.
Kwani wamelipa kwa sababu ya kuchapwa au kwa sababu ya kuvunja sheria..!!??Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.
Kihongosi amesema fedha hizo zitatumika kutengeneza madawati mapya.
Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kwa sababu zote!Kwani wamelipa kwa sababu ya kuchapwa au kwa sababu ya kuvunja sheria..!!??
Tatizo sio kuchapa tatizo lipo kwa wanaokubali kuchapwa.Utamchapaje fimbo mtu mzima makalioni mbele ya watu na waandishi? This dude should stop evolving and walk up right. This is 21st century.
Kwa taarifa yako waliochapwa sio machali, ni wakuja kama wewe.Lema aliwalea vibaya hao machalii!
Hahahaaaa........ Arusha mmetuaibisha sana.Kwa taarifa yako waliochapwa sio machali, ni wakuja kama wewe.
Mamlaka ya kushtaki na kuhukumu kayatoa wapi?Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.
Kihongosi amesema fedha hizo zitatumika kutengeneza madawati mapya.
Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kwani lema ndiye alikuwa mkuu wa wilaya (DC)?Lema aliwalea vibaya hao machalii!
Uzalendo ni zaidi ya hilo.Uzalendo kwanza!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ndio uzalendo unavyotaka!
Na waliokubali kutegesha matako yao ni wapumbavu zaidi,na badoHivi huyo mpumbavu alishaona Magufuli anacharaza watu viboko?
Je bila kuwacharaza viboko wasingelipa hiyo hela? Huu ni upuuzi wa hali ya juu sema tu wengi hawajaelimika, huyu alikua ni wa kufungulia mashtaka kabisa, yeye anapiga mtu kama nani? Ni mahakama au?
Huyo siyo mhehe mtu wa ifakara iringa amekulia tuWahehe wanapenda sifa ni wajanja kutekeleza utapeli
Kipi bora JELA au VIBOKO?Wahehe wanapenda sifa ni wajanja kutekeleza utapeli