DC Kihongosi: Wanaohoji mimi kuwachapa bakora Wafanyabiashara hawana hoja. Niliowachapa wamelipa sh 5,400,000.00 kama fidia

Hivi huyo mpumbavu alishaona Magufuli anacharaza watu viboko?

Je bila kuwacharaza viboko wasingelipa hiyo hela? Huu ni upuuzi wa hali ya juu sema tu wengi hawajaelimika, huyu alikua ni wa kufungulia mashtaka kabisa, yeye anapiga mtu kama nani? Ni mahakama au?
Huyo uliyetaja anawatia hadi vibao mawaziri wake na matusi juu,muulize Kabudi.
 
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.

Kihongosi amesema fedha hizo zitatumika kutengeneza madawati mapya.

Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
huyu dogo nilifikiri katuliamo kichwani kumbemo mtupu
 
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.

Kihongosi amesema fedha hizo zitatumika kutengeneza madawati mapya.

Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kwani wamelipa kwa sababu ya kuchapwa au kwa sababu ya kuvunja sheria..!!??
 
Two wrongs don't make a right, umekosea omba msamaha na uache kutuuliza Tashititi.
 
Huu ni udhalilishaji,kukutwa na kitu cha wizi haimaanishi kuwa wewe ndo umeiba,pili kulipa faini kwa hao wahusika huenda kimetokana na vitisho,ni mahakamani pekee ambako mtu anaweza hukumiwa kuchapwa fimbo na kulipa faini

Hawa wafanyabiashara wameonenewa,haiwezekani watawara kuwa wanajichukulia sheria mikonononi za kuwacha watu bakora eti kisa tu wao wamehisi wamekosea,

Watetezi wa haki za binadamu wamekaa kimia juu ya hili,kiufupi mkuu wa wilaya kakosea sana
 
Siku yeye akiitwa na Na wajuu wake hata RC tu na akamtandika Viboko hadharani atamuona RC ni mzalendo? Kuna mambo hayataki mihemko na sifa za kijinga hio ni kutafuta publicity, Very cheap and unprofessional achukuliwe hataua huyo kwa kudhalilisha watu
 
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.

Kihongosi amesema fedha hizo zitatumika kutengeneza madawati mapya.

Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Mamlaka ya kushtaki na kuhukumu kayatoa wapi?
 
Hivi huyo mpumbavu alishaona Magufuli anacharaza watu viboko?

Je bila kuwacharaza viboko wasingelipa hiyo hela? Huu ni upuuzi wa hali ya juu sema tu wengi hawajaelimika, huyu alikua ni wa kufungulia mashtaka kabisa, yeye anapiga mtu kama nani? Ni mahakama au?
Na waliokubali kutegesha matako yao ni wapumbavu zaidi,na bado
Mi 5 tena
 
Back
Top Bottom