Anaongea ukweli wa mambo yanayofanywa na serikali kwenye chaguzi,Kuna haja ya kuanzisha shule Ya kukuza uelewa Kwa viongozi wapuuzi kama huyu DC,anaongea ambayo mama hayataki,akiwemo ofisini kufikia kesho itakuwa ni doa Kwa serikali yetu.
Vitu kama hivyo vinamuongoza binadamu kubuni mbinu za kuweza kukabiliana navyoAnaongea ukweli wa mambo yanayofanywa na serikali kwenye chaguzi,
Kuteka na kutupa watu kwenye mapori huko
Siamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa.
Naomba tumsikilize kwa makini anavyo wadharau wapiga kura na anavyo jimwambafai kushiriki kwenye uchaguzi wa 2020.
Kama viongozi wetu wapo hivi sioni kama uadilifu unaoimbwa na wenzake utakuja kutimia.
Asante sana CCM, idumu.
"Na mimi naomba niwahakikishie, mimi niko very tough, kama kuna mtu ambaye siyo mwoga ni mimi! Wote hapa madiwani mwaka 2020 hayuko diwani aliyepiga kampeni hapa nyumba kwa nyumba, hakuna!
"Sasa yale mazingira ya mwaka 2020 siyo kwamba yalikuja yenyewe automatically kwasababu ninyi mlikuwa wagombea bora sana, ni mazingira ambayo yalikuwa, yametengenezwa na serikali ndio iliyofanya kazi ile ya wewe kupita bila kupingwa.
"Na kuna watu mnafahamu kilichotokea kwenye mapori huko na sehemu zingine na mimi nilihusika kwenye majimbo fulani fulani, sasa mazingira yale ni serikali ndiyo iliyofanya ile kazi, diwani huna ujanja wowote kwenye kata yako ya kwamba utashinda bila serikali, HAKUNA.
"Na usije ukajidanganya ndio maana sisi sasa hivi tumeshafanya kazi huko kubwa sana, ya kuchakata huko kwenye kata, vijiji, vitongoji vyote, taarifa zile zote tunazo, hali ya mambo jinsi ilivyo, tunaendaje.."
Pia soma:
Na ni kwanini wanaanza kusema ukweli kipindi hiki tena bila kuulizwa?Sasa ni kwanini wamemtumbua Nape ambaye na yeye alisema UKWELI kama huuhuu!!🤔
Very true ,Kuna madiwani watakua walichukizwa maana sio kwa kujimwambafy huko anawafokea Kama watoto kwamba bila ya yeye na hisani ya CCM madiwani si chochoteHuyu ni sawa na alivyoropoka Nape tu, hakuwa na nia njema ila kadukuliwa kwa Bahati mbaya
Dc kasema Yeye yuko Tough na Haogopi Mtu.Mpe DC aliyetenguliwa heshima yake! Kilaza hawezi kusema ukweli hadharani.
Bila DC, DED na DSO sidhani kama Kuna Diwani wa ccm anaweza kushinda. Hata DC kasema ukweli kama ulivyo.Very true ,Kuna madiwani watakua walichukizwa maana sio kwa kujimwambafy huko anawafokea Kama watoto kwamba bila ya yeye na hisani ya CCM madiwani si chochote
Ndio maana kwenye viapo huwaga wanasema NTATUNZA SIRI NA SITO TOA SIRI ZA SERIKALI
Siamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa.
Naomba tumsikilize kwa makini anavyo wadharau wapiga kura na anavyo jimwambafai kushiriki kwenye uchaguzi wa 2020.
Kama viongozi wetu wapo hivi sioni kama uadilifu unaoimbwa na wenzake utakuja kutimia.
Asante sana CCM, idumu.
"Na mimi naomba niwahakikishie, mimi niko very tough, kama kuna mtu ambaye siyo mwoga ni mimi! Wote hapa madiwani mwaka 2020 hayuko diwani aliyepiga kampeni hapa nyumba kwa nyumba, hakuna!
"Sasa yale mazingira ya mwaka 2020 siyo kwamba yalikuja yenyewe automatically kwasababu ninyi mlikuwa wagombea bora sana, ni mazingira ambayo yalikuwa, yametengenezwa na serikali ndio iliyofanya kazi ile ya wewe kupita bila kupingwa.
"Na kuna watu mnafahamu kilichotokea kwenye mapori huko na sehemu zingine na mimi nilihusika kwenye majimbo fulani fulani, sasa mazingira yale ni serikali ndiyo iliyofanya ile kazi, diwani huna ujanja wowote kwenye kata yako ya kwamba utashinda bila serikali, HAKUNA.
"Na usije ukajidanganya ndio maana sisi sasa hivi tumeshafanya kazi huko kubwa sana, ya kuchakata huko kwenye kata, vijiji, vitongoji vyote, taarifa zile zote tunazo, hali ya mambo jinsi ilivyo, tunaendaje.."
Pia soma:
Kule kuvalishwa majoho!!. Hadi leo unajua maana yake..?Ni vyema mkawa na Umoja wa kutetea maslahi yenu mbali na Vyama vyenu. Mmedhalilishwa vya kutosha. Umoja ndo silaha yenu
Huyo ni product ya basically.Asante sana uvccm mfu
Nape hajambo?Aise
Sura tu inaonyesha huyu ni jambaziDC aweka mambo kweupe hadharani jinsi serikali ya chama dola kongwe kinavyovuruga chaguzi
View attachment 3084380
Picha : MKUU WA WILAYA YA LONGIDO MHE. MARKO HENRY NG'UMBI
HahaNi kweli.
Ingekuwa enzi za shujaa angeongezwa cheo.
Walau kidogo mama anausikivu
Hiking Chama naamini hata viongozi wao wanajua kabisa kuwa kinatawala kwa mabavu