kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Anaongea ukweli wa mambo yanayofanywa na serikali kwenye chaguzi,Kuna haja ya kuanzisha shule Ya kukuza uelewa Kwa viongozi wapuuzi kama huyu DC,anaongea ambayo mama hayataki,akiwemo ofisini kufikia kesho itakuwa ni doa Kwa serikali yetu.
Kuteka na kutupa watu kwenye mapori huko