Pre GE2025 DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni watu wanaojitahidi sana kutopendana, sidhani kama umoja huo utadumu
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu kama ulimsikia vema Polepole kuwa wana CCM wanatembelea ma v8.
Alikuwa anamaanisha kweli kuwa wao ndiyo wanafaidi keki ya Taifa.

Hivyo wapo tayari kufanya vyovyote ili mradi wapate nafasi ya kuongoza
 
Mkuu ulitaka viongozi wa dini waseme nini? Mbona mnawalaumugi watu bila sababu kiongozi?
Udanganyifu kwenye uchaguzi huleta maafa, viongozi wa dini wana dhamana ya kuepusha nchi na maafa.
Waishauri Serikali kujiepusha na udanganyifu ili kuepusha nchi na shari zitokanazo na uchakachuaji wa matokeo.
 
Udanganyifu kwenye uchaguzi huleta maafa, viongozi wa dini wana dhamana ya kuepusha nchi na maafa.
Waishauri Serikali kujiepusha na udanganyifu ili kuepusha nchi na shari zitokanazo na uchakachuaji wa matokeo.
Ubarikiwe sana mkuu kwa usha uri mzuri sana
 
Yuko sahihi 100%
 
Hii naifafanisha na yale malalamiko ya Trump kule Marekani akiwa anagombea awamu ya 2 kwamba Rais Biden wa upinzani alimwibia kura. Sasa kama nchi zilizoendelea kama USA nazo zinalalamika kuhusu michezo michafu basi labda ndio siasa ya dunia. Mzee anagombea tena amalizie kipindi chake cha pili akichuana na Harris Kamala, safari hii anasema patachimbika!
 
Najaribu kuwaza aliechomesha hiyo video na kutoa nnje maneno ya humo kikaoni.

Muogope sana mwanadamu Mnafki anaekuchekea chekea.

Washamchomesha mwenzao tayari.
Huyo ni mzalendo! Apewe maua yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…