DC Mstaafu Simon Odunga akosoa vikali jinsi Kumbukumbu ya Hayati Magufuli ilivyofanyika

Hao ndio wenyewe Mahafidhina.!!
Tokezeni kuelekea 24 na 25 kazi uwe Moja!
 
Kiprotokali yupo sahihi! JPM bado ni Rais hadi achaguliwe mwingine 2025 ujue
 
Kwahiyo Kila mwaka tuwe tunamtumia mwakilishi!?
 
Dc, Kwanini watu watumie fwledha na muda ambao ni mali kwa ajili ya mfu?

Inasaidia nini?
 
Watanzania ni watu ambao wako bsy kubishana na kupigania mambo ya kipuuzi.
Hayo mambo ya kumbukumbu yabaki kuwa ya kifamilia na ambaye atataka kwenda. Sasa wanataka eti raisi aende naye anawachora tu...
Wanasiasa 2025 kwenye uchaguzi tembeleezi Nyota ya magufuri mtashinda kwa ushindi wa sunami ya kura
 
Nenda wewe utuwakilishe
 
Good!
 
Dc, Kwanini watu watumie fwledha na muda ambao ni mali kwa ajili ya mfu?

Inasaidia nini?

Kuhamasisha uzalendo...viongozi kujitoa kumbania rasilimali za Africa...

We didn't come to bow we came to conquer the world na JPM alipambana kiume...

Rest in peace JPM...hujafa unaishi!!
 
Nikikumbuka mkakati wao na mu7 wa kulishinikiza Kanisa Katoliki kumtangaza Nyerere kuwa Mtakatifu!
Walijitia utukufu wa Mungu.

Acheni Mungu aitwe Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…