Wewe ni Sukuma gang sema hujijuiMuda mwingine lazima ukweli usemwe. Mimi huwa nakubaliana na raisi Samia kwa mambo mengi, na pia sipo upande unaoitwa wa Sukuma gang.
Lakini kwa yaliotokea siku hii muhimu ya kumbukumbu ya raisi aliekuwa tayari kuweka maisha yake rehani kwa ajili ya watanzania wote.
Nasema hapana aisee. Serikali imechemsha na ni bora swala hili wangelitolea maelezo yanayoeleweka.
Huyu mtu atafanya Ikulu ilipuke.Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu
"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina"
Mwisho wa kunukuu.
BASI MZEE SIMON ODUNGA AGIZA LIRUDIWE KESHOMkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu
"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina"
Mwisho wa kunukuu.
Mnahangaika bure. Mna mpa heshima mtu asiyekuwa hai?Hato fufuka ila mwenacho huongezewa ni tofauti na wewe kufikia hadhi kama hiyo mhhh mybe kizazi chazi Chako Cha mia moja so magufuli ana haki yakupewa heshima zote
Wewe unadhani kwenda chato yeye kama marehemu kunamsaidia nini?Hakuna mwenye timu na Wala hakuna anaetaka kupinga walio panga ila haikuwa sahihi Wala heshima kwamtu ambae amliongoza taifa hili nakufia akiwa bado anahaki ya kiti chake sio heshima
Eti yeye ni mhafidhina na maridhiano hayawahusu? Nadhani hii post amelishwa maneno siamini kama ni yake.BASI MZEE SIMON ODUNGA AGIZA LIRUDIWE KESHO
SahihiWewe unadhani kwenda chato yeye kama marehemu kunamsaidia nini?
Au hiyo heshima yeye kama marehemu inamsaidia nini?
Watu wameacha hata kutembelea kaburi la nyerere kinachosaidia tu ni kwamba siku aliyokufa ni siku ya kitaifa.
Hivi wakati nyerere anakufa ulikuwa ushazaliwa au ushajitambua? Kama ulikuwa tayari basi utaelewa kuwa hata hili la magu ni kawaida na kitapita tu.
Maisha lazima yaendelee resources za nchi hii zielekezwe kutatua changamoto za walio hai.
Nchi zinazoendelea hasa kusini mwa jangwa la sahara tuko busy sana na siasa na mambo ambayo hayana tija kwa jamii. Tuko busy sana na kulinda wapiga kura, public holidays, uchawa, kujipendekeza, kupeana vyeo, na wizi wizi kuliko kufanya mambo ya maana.
Alikuwa tayari kuweka rehani maisha yake kwa kuteka na kuua wenzie !? Huyo hakupaswa hata kukumbukwa kwa lolote ameumiza watanzania wengi sana huyo.Muda mwingine lazima ukweli usemwe. Mimi huwa nakubaliana na raisi Samia kwa mambo mengi, na pia sipo upande unaoitwa wa Sukuma gang.
Lakini kwa yaliotokea siku hii muhimu ya kumbukumbu ya raisi aliekuwa tayari kuweka maisha yake rehani kwa ajili ya watanzania wote.
Nasema hapana aisee. Serikali imechemsha na ni bora swala hili wangelitolea maelezo yanayoeleweka.
DC Mstaafu au DC aliyefukuzwa kaziMkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu
"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina"
Mwisho wa kunukuu.
Kwenye kumbukumbu za Nyerere na Mkapa mbona hasemi lolote?Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu
"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina"
Mwisho wa kunukuu.
Mbona hamlalamiki hakwenda kwenye kumbukizi ya kifo cha Mkapa?Muda mwingine lazima ukweli usemwe. Mimi huwa nakubaliana na raisi Samia kwa mambo mengi, na pia sipo upande unaoitwa wa Sukuma gang.
Lakini kwa yaliotokea siku hii muhimu ya kumbukumbu ya raisi aliekuwa tayari kuweka maisha yake rehani kwa ajili ya watanzania wote.
Nasema hapana aisee. Serikali imechemsha na ni bora swala hili wangelitolea maelezo yanayoeleweka.
Kutesa kwa zamu ndg , mlicheka sana wkt tuna teswa , sasa mkae kwa kutulia...As long as tunakubaliana kwa pamoja (CCM na upinzani) kwamba atakaeshinda ni wa CCM basi hilo halina tatizo.
Maana maadui wakubwa wa taifa hili ni nyinyi wapinzani uchwara ambao mnaishi kwa kutumia mfumo wa mwenyekiti wenu Mbowe.
sukuma gang yameshikwa chin na bado 2025 mnaenda kufutwa kabisa hata udiwani hampat.
Mnajisumbua bure. Mhubiri 9:5Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.