Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Duh, hayaMkuu wa wilaya ya Tunduru Mh Julius Mtatiro amepiga marufuku sherehe za kuhitimu elimu ya msingi yaani Darasa La Saba wilayani kwake.
Mtatiro amesema kuhitimu darasa la saba ni sawa na Sifuri hivyo kufanya sherehe ni kuwadumaza wanafunzi na kuwafanya wawe na mawazo ya kimasikini yatakayoharibu future zao.
DC Mtatiri amemuagiza OCD kuwakamata wote watakaokaidi amri yake.
Source ITV habari
My take; Dr Msukuma, Kibajaji na Jah People ni LA SABA lakini waki bungeni.
Maendeleo hayana vyama!
Labda kuna "misquating"Mkuu wa wilaya ya Tunduru Mh Julius Mtatiro amepiga marufuku sherehe za kuhitimu elimu ya msingi yaani Darasa La Saba wilayani kwake.
Mtatiro amesema kuhitimu darasa la saba ni sawa na Sifuri hivyo kufanya sherehe ni kuwadumaza wanafunzi na kuwafanya wawe na mawazo ya kimasikini yatakayoharibu future zao.
DC Mtatiri amemuagiza OCD kuwakamata wote watakaokaidi amri yake.
Source ITV habari
My take; Dr Msukuma, Kibajaji na Jah People ni LA SABA lakini waki bungeni.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu umetishaTumekuwa USA
anasubiri mje mmupe muongozo yeye hana
Kwa Dunia ya sasa!
Umewaona hao 4m four au unawasikia tu!!? Wengine hawawezi hata kuandika 1mln.Bila elimu ya 4m four, you go nowhere!
Atapiga marufu hata sherehe za kipaimara, happy birthday.Sherehe za siku 1 zinaathir vip taaluma ya mwanafunzi, mwanafunzi ameshindwa kumsimamia toka chekechea anakuja kufyatuka mwishoni.Huyu mtatiro nimemdharau sana kwa kauli yake ya kipumbavu na kijinga sana, yaaani watoto wamemaliza darasa la saba wasijipongeze.
Kwani hizo sherehe zikifanywa watoto wamemaliza mitihani yao zitabadilisha vipi matokeo.
Lidc lijinga just in the beginning of 2020
Kila mtu analazimisha watu wote wafuate values zake yeye binafsi, kuna vitu vingine hao ma OCD wangekuwa wanawajibu tu hapo hapo hatuna mamlaka hayo ya kisheria.Mkuu wa wilaya haikufanyi kuwa mmiliki wa maisha binafsi ya watu wanaoishi katika wilaya hiyo.