Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Duh, hayaMkuu wa wilaya ya Tunduru Mh Julius Mtatiro amepiga marufuku sherehe za kuhitimu elimu ya msingi yaani Darasa La Saba wilayani kwake.
Mtatiro amesema kuhitimu darasa la saba ni sawa na Sifuri hivyo kufanya sherehe ni kuwadumaza wanafunzi na kuwafanya wawe na mawazo ya kimasikini yatakayoharibu future zao.
DC Mtatiri amemuagiza OCD kuwakamata wote watakaokaidi amri yake.
Source ITV habari
My take; Dr Msukuma, Kibajaji na Jah People ni LA SABA lakini waki bungeni.
Maendeleo hayana vyama!