DC Mtatiro: Marufuku kufanya Sherehe za darasa la saba, fedha za Sherehe wazitumie kuwasomesha wasiwe mzigo kwa Taifa

DC Mtatiro: Marufuku kufanya Sherehe za darasa la saba, fedha za Sherehe wazitumie kuwasomesha wasiwe mzigo kwa Taifa

Mkuu wa wilaya ya Tunduru Mh Julius Mtatiro amepiga marufuku sherehe za kuhitimu elimu ya msingi yaani Darasa La Saba wilayani kwake.

Mtatiro amesema kuhitimu darasa la saba ni sawa na Sifuri hivyo kufanya sherehe ni kuwadumaza wanafunzi na kuwafanya wawe na mawazo ya kimasikini yatakayoharibu future zao.

DC Mtatiri amemuagiza OCD kuwakamata wote watakaokaidi amri yake.

Source ITV habari

My take; Dr Msukuma, Kibajaji na Jah People ni LA SABA lakini waki bungeni.

Maendeleo hayana vyama!
Duh, haya
 
Labda kuna "misquating"
 
Kwani hizo sherehe wao na timu yake huwa wanagharamia kiasi gani ?
 
Inamaana Dc Mtatiro haoni umuhimu wa Msukuma,kibajaji na wengine wa aina hiyo.

Aache dharau kisa yeye kazidi hizo ngazi. Elimu zaid ya drs la saba sio jambo la lazima,aache vijana wajipongeze kuwepo darasani kwa miaka 7.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bwana Dc ajatumia hekima,elim ya darasa la saba ndo elimu mama kwa nchi zinazoendelea kama tanzania,moja ya 8 millennium development goal is to achieve universal primary level education, huu ni mkakati wa umoja wa mataifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mtatiro nimemdharau sana kwa kauli yake ya kipumbavu na kijinga sana, yaaani watoto wamemaliza darasa la saba wasijipongeze.
Kwani hizo sherehe zikifanywa watoto wamemaliza mitihani yao zitabadilisha vipi matokeo.
Lidc lijinga just in the beginning of 2020
 
SIDE A
yupo sawa kilealichokisema kutokana na ubovu wa elimu ya msingi hasa shule za selikali mabazo wanafunzi wanamaliza darasa la saba hata kusoma tatizo lakin wanafaulu na kuigia secondary hiyo ameona kuwa hayo mahafali watafanya kidato cha nne

SIDE B
hayuko sawaa kwa sababu watoto wanapomaliza hatua moja ya elimu wanapaswa kupongezwa kwa kuweza kumaliza hatua hiyo hata sisi binafsi mtu ukitoka kuoanga ukahamia nyumbani kwako hata kama chumba kimoja basi unajipongeza so kuwapongeza watoto kunawafanya wajihisi kuwa kumefanya jambo au kumaliza hatua moja na sasa tunaenda hatua nyingine

MAWAZO YANGU BINAFSI
kuwaondolea watoto mahafali wakati huwa zinafanywa kwa michango ya wazazi na hayaingilii bajeti ya serikali sio sahihi
 
Huyu mtatiro nimemdharau sana kwa kauli yake ya kipumbavu na kijinga sana, yaaani watoto wamemaliza darasa la saba wasijipongeze.
Kwani hizo sherehe zikifanywa watoto wamemaliza mitihani yao zitabadilisha vipi matokeo.
Lidc lijinga just in the beginning of 2020
Atapiga marufu hata sherehe za kipaimara, happy birthday.Sherehe za siku 1 zinaathir vip taaluma ya mwanafunzi, mwanafunzi ameshindwa kumsimamia toka chekechea anakuja kufyatuka mwishoni.
 
Mkuu wa wilaya haikufanyi kuwa mmiliki wa maisha binafsi ya watu wanaoishi katika wilaya hiyo.
Kila mtu analazimisha watu wote wafuate values zake yeye binafsi, kuna vitu vingine hao ma OCD wangekuwa wanawajibu tu hapo hapo hatuna mamlaka hayo ya kisheria.
 
Back
Top Bottom