Hajiamini, anadhani huo ukuu wa mkoa ndio kila kitu.Kwa hiyo kudhalilisha watu hivyo anahisi ndio anaonekana kufanya kazi. Tatizo wajinga wajinga hawa kupewa madaraka bila kujitambua.Huyu mkuu wa mkoa atakua na shida, juzi kagombana na mtu wa GPSA leo tena mkuu wa shule. Ina maana wa kudharauliwa amekua yeye tu?
katiba inamruhusu ambayo ndo sheria mamaKwasababu hiyo anaweza kumuweka mtu ndani bila hata kosa lolote.
Kifungu kipi cha sheria kinampa hiyo mamlaka yakuweka mtu ndani bila sababu?.
Tofautisha utovu wa nidhamu na kuvunja Sheria.
ebu msikilize vizuri , ameulizwa anasema inawezekana , jibu gani la kumpa bosi wako?Ujinga tu ,hii sheria inatumika vibaya , kama kiongozi unatakiwa sikiliza hoja , wenda mkuu wa chuo alikua na hoja za maana ,sasa unamkatisha mtu ajifika mpaka mwisho hii maana yake ni nini? na hapa zarau zipo wapi.
Uyo mkuu wa mkoa na wilaya waondolewe mara moja
Unaropoka wakati hujui chochote. Kuna mahali wamesema kuwa mkuu huyo ameruhusu watu kuchimba madini eneo la chuo?Acheni ushabiki, uruhusu watu wachimbe madini eneo la serikali bila vielelezo, halafu uendelee kw cheo chako! Yaani mkeo, agawe mbuzi/ ng'ombe kwa mtu pasipo ruhusa yako, halafu umhoji hakupi majibu, usimuelekeze aripoti kwa wazazi wake!
Sasa tukiishi kwenye jamii isiyo na utaratibu, tutakuwa na tofauti gani na nyumbu!
mimi simjui in person lakini napenda sana anavyoweka discpline ya watumishi wa mkoa wakeKati ya Wakuu wa Mikoa aliowateua Mhe. Rais, Mkuu wa Mkoa wa Tabora ni kati ya Wakuu wa Mikoa wachache ambao ni wachapa kazi. Mhe. Chacha wasikukatishe tamaa. Chapa kazi.
Hicho siyo chuo kikui Wala taasisi ya elimu ya juu ni kikampasi Cha madini. Hivyo mkuu wa chuo ndiyo anakuteua.Nijuavyo uteuzi wa mkuu wa chuo (kama ni cha seriali) unafanywa na Rais. Inashangaza mkuu wa mkoa/wilaya kumuagiza Rais atengue uteuzi wake. Nafikiri wa kutenguliwa ni wao kwa kosa la ‘insubordination’
Huwa anawaprovoke watu kupitia madaraka yake wakati ni bogus fulani, hivyo watu wanampa ukweli wake. Kwakuwa tuna katiba mbovu, ndio analeta za unanjua mimi ni nani?Huyu mkuu wa mkoa atakua na shida, juzi kagombana na mtu wa GPSA leo tena mkuu wa shule. Ina maana wa kudharauliwa amekua yeye tu?
Kutaka kusujudiwa sio discpline boss. Ulevi wa madaraka sio descpline.mimi simjui in person lakini napenda sana anavyoweka discpline ya watumishi wa mkoa wake
Ulitaka akubali kwa kitu ambacho hana huakika nacho? Mfano apo ulipo ukaulizwa jirani yako kauliwa na jirani yake na hujui ,je utatoa jibu gani.ebu msikilize vizuri , ameulizwa anasema inawezekana , jibu gani la kumpa bosi wako?
Huwa wanateuliwa RC/DC wapumbavu kabisaKutaka kusujudiwa sio discpline boss. Ulevi wa madaraka sio descpline.
Mkurugenzi wa Halmashauri, jiji, manispaa nkKwasababu hiyo anaweza kumuweka mtu ndani bila hata kosa lolote.
Kifungu kipi cha sheria kinampa hiyo mamlaka yakuweka mtu ndani bila sababu?.
Tofautisha utovu wa nidhamu na kuvunja Sheria.
Yeye ni msimamizi wa shughuli zote ktk eneo hilo na anawajibika pia kwa lolote.Unaropoka wakati hujui chochote. Kuna mahali wamesema kuwa mkuu huyo ameruhusu watu kuchimba madini eneo la chuo?
Hicho chuo kipo ndani ya keseni ya utafiti madini, na kinaimiliki hiyo leseni kwaajili ya training ya wanachuo wake wa UDSM, sasa kuna watu wanaingia na kuchimba kwa kuiba, kwa akili yako ndogo, unataka mkuu huyo wa hiyo branch ya UDSM awepo kila eneo kulinda wakati wote? Basi huyo RC akamkamate Rais mstaafu Jakaya Kikwete, maana ndiye mkuu wa chuo.
Kudhalilika.Ni wakati wao na wao kudharirika ukienda kwenye maofisi yao hao wanakuona kama mbwa
Ni ujinga na upumbavuMkuu wa wilaya au wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa eneo lake ana mamlaka kikatiba ya kumhifadhi mtu yeyote isipokuwa mteule wa Rais tu kwa masaa 44