DC Sabaya abadili matumizi ya fedha ya mfuko wa Jimbo la Mbowe

DC Sabaya abadili matumizi ya fedha ya mfuko wa Jimbo la Mbowe

Mzee Mgaya huyo dogo ana ruhusa ya kupangia hizo hela matumizi? Kama ni kuzipeleka kwenye maendeleo tu hiyo kamati ni ya nini, si zingekuwa zinakuja kila mtu anaagiza ziende kwenye maendeleo?
Mbowe alizichimbia kiambani kwanini....... Mbona Sugu kule Mbeya kajengea vyoo na Dr Tulia akaenda kumalizia kupaka rangi?

Nadhani hayo ni matunda ya ziara ya mchungaji Erasto huko Hai na Arumeru!
 
Ujinga mtaacha lini? Mbona mwasisi wa chama chenu alionya sana kuhusu kufuata katiba? Hatuwezi kuendesha nchi kwa "busara za viongozi". Nchi iendeshwe na sheria. Kama hana mamlaka ya kisheria ku"zielekeza kwenye shughuli za maendeleo ya jamii", kufanya hivyo ni kuvunja sheria.

Tuache kuongozwa na ukada, sheria zimetungwa na CCM leo CCM wanaongoza kuzivunja. Mtakuja kulipa siku moja
Huyo Mbowe alizibania hizo fedha kwanini?!........ Mbona mwenzake Ester Matiko hata alipokuwa jela kule Segerea fedha za jimbo lake ziliendelea kuhudumia wananchi kwa kuwanunulia mabati ya kuezekea shule?!
 
Tatizo hutaki ku-deal na the elephant in the room. SHERIA, unataka tujadili porojo.
 
Ujinga mtaacha lini? Mbona mwasisi wa chama chenu alionya sana kuhusu kufuata katiba? Hatuwezi kuendesha nchi kwa "busara za viongozi". Nchi iendeshwe na sheria. Kama hana mamlaka ya kisheria ku"zielekeza kwenye shughuli za maendeleo ya jamii", kufanya hivyo ni kuvunja sheria.

Tuache kuongozwa na ukada, sheria zimetungwa na CCM leo CCM wanaongoza kuzivunja. Mtakuja kulipa siku moja
Wananchi wanataka maendeleo Mbowe anafungia fedha kwenye kibubu!
 
Mbowe alizichimbia kiambani kwanini....... Mbona Sugu kule Mbeya kajengea vyoo na Dr Tulia akaenda kumalizia kupaka rangi?

Nadhani hayo ni matunda ya ziara ya mchungaji Erasto huko Hai na Arumeru!
Hizi tabia za kijinga mlizo leta hapa JF za ubishi wa aina ya Simba na Yanga ndio zimeifanya Jamiiforums igeuke kituko na heshima kupotea.
JF imeondoka kuwa jukwaa la hoja zenye mashiko hadi kijiwe cha kahawa chenye ubishi wa kupotezea muda tuu.
Hivi kweli huoni kuwa DC Sabaya kakosea hivyo tumuonye na kumrekebisha?
Au kwa vile ujinga huu aliofanya kaufanyia kwa Mbowe ambaye ni Adui yako (yenu)?
Jambo hili hata waziri kashasema bungeni bado mnalishadadia utadhani kuingilia shughuli za fedha hizo anakomolewa Mbowe!
Mwanao akienda kunya barazani mwa jirani yako utamtetea kwa vile huyo jirani hupatani naye?
Tuache kugeuza JF kijiwe, tutetee hoja na kupinga kwa weledi sio mambo ya Simba na Yanga ili JF irudishe sifa yake ya zamani
IMG-20191229-WA0000.jpeg
IMG-20191229-WA0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi tabia za kijinga mlizo leta hapa JF za ubishi wa aina ya Simba na Yanga ndio zimeifanya Jamiiforums igeuke kituko na heshima kupotea.
JF imeongoka kuwa jukwaa la hoja zenye mashiko hadi kijiwe cha kahawa chenye ubishi wa kupotezea muda tuu.
Hivi kweli huoni kuwa DC Sabaya kakosea hivyo tumuonye na kumrekebisha?
Au kwa vile ujinga huu aliofanya kaufanyia kwa Mbowe ambaye ni Adui yako (yenu)?
Jambo hili hata waziri kashasema bungeni bado mnalishadadia utadhani kuingilia shughuli za fedha hizo anakomolewa Mbowe!
Mwanao akienda kunya barazani mwa jirani yako utamtetea kwa vile huyo jirani hupatani naye?
Tuache kugeuza JF kijiwe, tutetee hoja na kupinga kwa weledi sio mambo ya Simba na Yanga ili JF irudishe sifa yake ya zamaniView attachment 1306223View attachment 1306224

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwiga huo waraka alioshauri Spika Ndugai umeshatoka?

Huyo Mbowe anashinda mahakamani hivyo vikao vya kamati ya jimbo ataviongoza saa ngapi?
 
Mtazunguka weeeee mwishoni utawala wa sheria ndio msingi wa dola yoyote #'wajinga nyinyi
 
Sheria ipo.... waraka ulikuwa ni ushauri tu wa kuwakumbusha. Sheria ya mfuko wa jimbo ipo, ni kiburi tu cha huu utawala.
Iweke hapa hiyo sheria tuone kama haitoi mianya yoyote?

Sheria za kutungwa na akina Kibajaji na Sugu usiziamini sana hasa zinapowakuta watendaji wabobezi!
 
Stupid John! You must be nuts. Mtu kakuwekea sheria inayoongoza fedha hizo, ujasiri wa kuandika hivyo unautoa wapi. Crazy man eh!

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee punguza mihemko wananchi wanataka maendeleo....... Mbunge anakaa Dsm kila siku yuko kisutu wewe unataka wananchi wasubiri?.......Hizi fedha haxitoki kwenye mfuko wa Mbowe!!
 
Back
Top Bottom