DC Sabaya abadili matumizi ya fedha ya mfuko wa Jimbo la Mbowe

DC Sabaya abadili matumizi ya fedha ya mfuko wa Jimbo la Mbowe

Wananchi wanataka maendeleo Mbowe anafungia fedha kwenye kibubu!
Kuna watu humu ukiwepo wewe umejaa ubishi tu hata huelewi,taarifa iliyo tolewa ni kwamba tayari hizo pesa zilisha tengewa matumizi na Kila Kijiji zilikuwa ziende laki tano,(500,000)DC ametengua hilo,wewe unayaonaje hayo maamuzi ni sawa?
 
Sasa kwanini hazikwenda?
 
Sasa kwanini hazikwenda?
Mwaka wa fedha unajua huwa unaishia mwezi wa ngapi na bado miezi mingapi tufikie?bado muda upo
wa kuzipeleka,msifanye watanzania hatuelewi,kajamaa kanapenda kiki kweli,,,,,,achamihemukoo ya buku saba!!!!!
 
Kwahiyo tusubiri hadi May, 2020?!

Huo ujinga fanyeni huko huko kwenye ruzuku lakini siyo kwenye mfuko wa jimbo!
 
Mbwiga huo waraka alioshauri Spika Ndugai umeshatoka?

Huyo Mbowe anashinda mahakamani hivyo vikao vya kamati ya jimbo ataviongoza saa ngapi?
Unajua hiyo kamati ina wajumbe wangapi? Kwani kuwa mwenyekiti ni lazima kila siku awepo? Kamati inapaswa ikae vikao vingapi kuidhinisha miradi ya kutumia fedha hizo? Kwa akili yako wadhani ni kila siku?
Acha kujishusha hivyo! Wastaarabu wanafuata sheria na washenzi wanapindisha na kutoheshimu sheria. Ole Sabayi ni mshenzi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Sugu kajenga vyoo pale Mbeya!
Yawezekana wewe ni Muha!
Wao wanasifa za ubishi tuu, mmoja anaweza kubishana na behewa zima la 3rd class tokea Tabora hadi Kigoma yeye akisema kama Rais wa Kenya ni Kenyatta basi Rais wa Zambia ni Zambiatta. Na hadi Kigoma anafika hajashawishika tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua hiyo kamati ina wajumbe wangapi? Kwani kuwa mwenyekiti ni lazima kila siku awepo? Kamati inapaswa ikae vikao vingapi kuidhinisha miradi ya kutumia fedha hizo? Kwa akili yako wadhani ni kila siku?
Acha kujishusha hivyo! Wastaarabu wanafuata sheria na washenzi wanapindisha na kutoheshimu sheria. Ole Sabayi ni mshenzi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wananchi wanataka maendeleo...... Fedha ipo.....tena ya serikali.....wamngoje nani tena?

Hayo mambo ya ngoja ngoja ndio yaliyotuchelewesha......hii fedha haitoki mfukoni kwa Freeman.

Kiukweli huwa simkubali Ole Sabaya lakini katika hili naunga mkono kasi yake!
 
Kwa akili yako unafikili Mbowe ananjaa ya ml.42?anaweza akawafuga ukoo wenu wote pamoja na aliyekutuma.
Hawezi kutolea macho hizo za mfuko wa jimbo wakati ana kihenge chake CDM. Kuna Ruzuku,Michango na Misaada. Chukuliwa michango ya wabunge
Huko kila mbunge anachangia kama milioni hivi sasa chukua wabunge 70 ni milion 70 kwa mwezi.. kwa mwaka mmoja ni 840mls yaani miaka 4 jamaa ameingiza 3360mls.
Juzi kati zimetoweka milioni 3600(bilioni 3.6) akaunti ya michango na hakuna mbunge alieuliza wanabaki kunungunika mpaka spika anawacheka. De.Assad anasema chama kina akaunt 100.
Mtu kama huyu hawezi kuwa na njaa ya hizo 42m na mtu kama mdudu anasifia Mbowe anahela sana. Wajinga ndio waliwao.
Nchi hii hakuna watu ma.fa.la. na waoga kama wabunge wa Chadema...
Mbowe anapiga ruzuku misaada mpaka michango yao, wao wameufyata tu afu wanataka tuwape nchi
Shenz type zao
 
Mpelekeni mahakamani, msiishie tu kuandika humu mitandaoni. Hili tabia ya hawa viongozi kutokufuata sheria inapata nguvu maana hawapelekwi mahakamani.

Atapelekwa ndiyo kwani yeye nani, kenge huyo🚶🏻🚶🏻
 
Back
Top Bottom