johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mbowe alizichimbia kiambani kwanini....... Mbona Sugu kule Mbeya kajengea vyoo na Dr Tulia akaenda kumalizia kupaka rangi?Mzee Mgaya huyo dogo ana ruhusa ya kupangia hizo hela matumizi? Kama ni kuzipeleka kwenye maendeleo tu hiyo kamati ni ya nini, si zingekuwa zinakuja kila mtu anaagiza ziende kwenye maendeleo?
Hapa ndo huwa nashindwa kukutofautisha na vuvuzela! Yaani kwako kiongozi wa CCM anaweza kujifanyia mambo kinyume cha sheria ukaona haina taabu kwa utetezi wa kuleta maendeleo.Kama amezielekeza kwenye shughuli za maendeleo ya jamii kuna ubaya gani?!
Huyo Mbowe alizibania hizo fedha kwanini?!........ Mbona mwenzake Ester Matiko hata alipokuwa jela kule Segerea fedha za jimbo lake ziliendelea kuhudumia wananchi kwa kuwanunulia mabati ya kuezekea shule?!Ujinga mtaacha lini? Mbona mwasisi wa chama chenu alionya sana kuhusu kufuata katiba? Hatuwezi kuendesha nchi kwa "busara za viongozi". Nchi iendeshwe na sheria. Kama hana mamlaka ya kisheria ku"zielekeza kwenye shughuli za maendeleo ya jamii", kufanya hivyo ni kuvunja sheria.
Tuache kuongozwa na ukada, sheria zimetungwa na CCM leo CCM wanaongoza kuzivunja. Mtakuja kulipa siku moja
Amevunja sheria gani?Hapa ndo huwa nashindwa kukutofautisha na vuvuzela! Yaani kwako kiongozi wa CCM anaweza kujifanyia mambo kinyume cha sheria ukaona haina taabu kwa utetezi wa kuleta maendeleo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hutaki ku-deal na the elephant in the room. SHERIA, unataka tujadili porojo.Huyo Mbowe alizibania hizo fedha kwanini?!........ Mbona mwenzake Ester Matiko hata alipokuwa jela kule Segerea fedha za jimbo lake ziliendelea kuhudumia wananchi kwa kuwanunulia mabati ya kuezekea shule?!
Wananchi wanataka maendeleo Mbowe anafungia fedha kwenye kibubu!Ujinga mtaacha lini? Mbona mwasisi wa chama chenu alionya sana kuhusu kufuata katiba? Hatuwezi kuendesha nchi kwa "busara za viongozi". Nchi iendeshwe na sheria. Kama hana mamlaka ya kisheria ku"zielekeza kwenye shughuli za maendeleo ya jamii", kufanya hivyo ni kuvunja sheria.
Tuache kuongozwa na ukada, sheria zimetungwa na CCM leo CCM wanaongoza kuzivunja. Mtakuja kulipa siku moja
Sheria gani?Tatizo hutaki ku-deal na the elephant in the room. SHERIA, unataka tujadili porojo.
Halafu mkoa wa Kilimanjaro una majimbo mangapi? Majimbo mangapi amehamisha fedha?Tatizo hutaki ku-deal na the elephant in the room. SHERIA, unataka tujadili porojo.
Narudia tena....tuache kujadili side issue. Huu ni uvunjifu wa sheria.Halafu mkoa wa Kilimanjaro una majimbo mangapi? Majimbo mangapi amehamisha fedha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria gani?
Twende kwa vifungu bwashee usibwabwaje!
Sawa wazee wa kujenga vyooooKama amezielekeza kwenye shughuli za maendeleo ya jamii kuna ubaya gani?!
Kama amezielekeza kwenye shughuli za maendeleo ya jamii kuna ubaya gani?!
Hizi tabia za kijinga mlizo leta hapa JF za ubishi wa aina ya Simba na Yanga ndio zimeifanya Jamiiforums igeuke kituko na heshima kupotea.Mbowe alizichimbia kiambani kwanini....... Mbona Sugu kule Mbeya kajengea vyoo na Dr Tulia akaenda kumalizia kupaka rangi?
Nadhani hayo ni matunda ya ziara ya mchungaji Erasto huko Hai na Arumeru!
Sasa waraka umeshatoka kama Spika Ndugai alivyoshauri?!
Sheria ipo.... waraka ulikuwa ni ushauri tu wa kuwakumbusha. Sheria ya mfuko wa jimbo ipo, ni kiburi tu cha huu utawala.Sasa waraka umeshatoka kama Spika Ndugai alivyoshauri?!
Mbwiga huo waraka alioshauri Spika Ndugai umeshatoka?Hizi tabia za kijinga mlizo leta hapa JF za ubishi wa aina ya Simba na Yanga ndio zimeifanya Jamiiforums igeuke kituko na heshima kupotea.
JF imeongoka kuwa jukwaa la hoja zenye mashiko hadi kijiwe cha kahawa chenye ubishi wa kupotezea muda tuu.
Hivi kweli huoni kuwa DC Sabaya kakosea hivyo tumuonye na kumrekebisha?
Au kwa vile ujinga huu aliofanya kaufanyia kwa Mbowe ambaye ni Adui yako (yenu)?
Jambo hili hata waziri kashasema bungeni bado mnalishadadia utadhani kuingilia shughuli za fedha hizo anakomolewa Mbowe!
Mwanao akienda kunya barazani mwa jirani yako utamtetea kwa vile huyo jirani hupatani naye?
Tuache kugeuza JF kijiwe, tutetee hoja na kupinga kwa weledi sio mambo ya Simba na Yanga ili JF irudishe sifa yake ya zamaniView attachment 1306223View attachment 1306224
Sent using Jamii Forums mobile app
Iweke hapa hiyo sheria tuone kama haitoi mianya yoyote?Sheria ipo.... waraka ulikuwa ni ushauri tu wa kuwakumbusha. Sheria ya mfuko wa jimbo ipo, ni kiburi tu cha huu utawala.
Bwashee punguza mihemko wananchi wanataka maendeleo....... Mbunge anakaa Dsm kila siku yuko kisutu wewe unataka wananchi wasubiri?.......Hizi fedha haxitoki kwenye mfuko wa Mbowe!!Stupid John! You must be nuts. Mtu kakuwekea sheria inayoongoza fedha hizo, ujasiri wa kuandika hivyo unautoa wapi. Crazy man eh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi yule bwana wa itigi aliyetuhumiwa kuua kanisani kwa risasi bado ni DED?Kuna waterless wa raisi hata wa kiua hakuna wa kuwafanya chochote.