Mbogo nyeusi
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 230
- 541
Kuna watu humu ukiwepo wewe umejaa ubishi tu hata huelewi,taarifa iliyo tolewa ni kwamba tayari hizo pesa zilisha tengewa matumizi na Kila Kijiji zilikuwa ziende laki tano,(500,000)DC ametengua hilo,wewe unayaonaje hayo maamuzi ni sawa?Wananchi wanataka maendeleo Mbowe anafungia fedha kwenye kibubu!
Yah bado hajawa wa mkoa bado ni wa wilaya.Hivi yule bwana wa itigi aliyetuhumiwa kuua kanisani kwa risasi bado ni DED?
Sasa kwanini hazikwenda?Kuna watu humu ukiwepo wewe umejaa ubishi tu hata huelewi,taarifa iliyo tolewa ni kwamba tayari hizo pesa zilisha tengewa matumizi na Kila Kijiji zilikuwa ziende laki tano,(500,000)DC ametengua hilo,wewe unayaonaje hayo maamuzi ni sawa?
DED ItigiKuna waterless wa raisi hata wa kiua hakuna wa kuwafanya chochote.
Pita hapa uone kama kuna hiyo mianyaIweke hapa hiyo sheria tuone kama haitoi mianya yoyote?
Sheria za kutungwa na akina Kibajaji na Sugu usiziamini sana hasa zinapowakuta watendaji wabobezi!
Hata Sugu kajenga vyoo pale Mbeya!
Mwaka wa fedha unajua huwa unaishia mwezi wa ngapi na bado miezi mingapi tufikie?bado muda upoSasa kwanini hazikwenda?
Kwahiyo tusubiri hadi May, 2020?!Mwaka wa fedha unajua huwa unaishia mwezi wa ngapi na bado miezi mingapi tufikie?bado muda upo
wa kuzipeleka,msifanye watanzania hatuelewi,kajamaa kanapenda kiki kweli,,,,,,achamihemukoo ya buku saba!!!!!
Unajua hiyo kamati ina wajumbe wangapi? Kwani kuwa mwenyekiti ni lazima kila siku awepo? Kamati inapaswa ikae vikao vingapi kuidhinisha miradi ya kutumia fedha hizo? Kwa akili yako wadhani ni kila siku?Mbwiga huo waraka alioshauri Spika Ndugai umeshatoka?
Huyo Mbowe anashinda mahakamani hivyo vikao vya kamati ya jimbo ataviongoza saa ngapi?
Yawezekana wewe ni Muha!Hata Sugu kajenga vyoo pale Mbeya!
Naona amefanya Jambo la msingi kuliko angeacha Ile ya kila Kijiji laki tanoLengai tatizo lake kubwa ni utoto mwingi
Wananchi wanataka maendeleo...... Fedha ipo.....tena ya serikali.....wamngoje nani tena?Unajua hiyo kamati ina wajumbe wangapi? Kwani kuwa mwenyekiti ni lazima kila siku awepo? Kamati inapaswa ikae vikao vingapi kuidhinisha miradi ya kutumia fedha hizo? Kwa akili yako wadhani ni kila siku?
Acha kujishusha hivyo! Wastaarabu wanafuata sheria na washenzi wanapindisha na kutoheshimu sheria. Ole Sabayi ni mshenzi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kutolea macho hizo za mfuko wa jimbo wakati ana kihenge chake CDM. Kuna Ruzuku,Michango na Misaada. Chukuliwa michango ya wabungeKwa akili yako unafikili Mbowe ananjaa ya ml.42?anaweza akawafuga ukoo wenu wote pamoja na aliyekutuma.
Mpelekeni mahakamani, msiishie tu kuandika humu mitandaoni. Hili tabia ya hawa viongozi kutokufuata sheria inapata nguvu maana hawapelekwi mahakamani.
Mwaka wa fedha huwa unaishia may? great thinkers tusaidieKwahiyo tusubiri hadi May, 2020?!
Huo ujinga fanyeni huko huko kwenye ruzuku lakini siyo kwenye mfuko wa jimbo!
Narudia tena....tuache kujadili side issue. Huu ni uvunjifu wa sheria.
Ma DED waonywa kutumia fedha za mifuko ya jimbo