johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mbwiga mwaka wa fedha unaisha June lakini ukumbuke 2020 bunge linavunjwa mwezi June hivyo mambo yote ya procurement yatakamilishwa may 2020.Mwaka wa fedha huwa unaishia may? great thinkers tusaidie
Sio jukumu lake. Ni mambo ya utawala bora tu ambayo naona "hujayaelewa".Kama amezielekeza kwenye shughuli za maendeleo ya jamii kuna ubaya gani?!
Nafikiri upinzani unahaja ya kujijengea uwezo kwenye eneo hili. Watu washenzi wapelekwe mahakamani. Na mwakani fujo zitaongezeka sana hivyo wajipange.Mpelekeni mahakamani, msiishie tu kuandika humu mitandaoni. Hili tabia ya hawa viongozi kutokufuata sheria inapata nguvu maana hawapelekwi mahakamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yawezekana wewe ni Muha!
Wao wanasifa za ubishi tuu, mmoja anaweza kubishana na behewa zima la 3rd class tokea Tabora hadi Kigoma yeye akisema kama Rais wa Kenya ni Kenyatta basi Rais wa Zambia ni Zambiatta. Na hadi Kigoma anafika hajashawishika tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ndogo anahangaika na mtu aliyekwisha kumdharau tangu siku ya kwanza anfika Hai.Mkuu wa Wilaya ya Hai (DC) mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya, amezuia Sh. 42 milioni za mfuko wa Jimbo la Hai na kuagiza kati ya fedha hizo Sh. 7 milioni ziende kujenga choo cha walimu wa shule ya msingi Mijongweni iliyopo kata ya Mnadani wilayani humo.
Fedha hizo za mfuko wa Jimbo hilo linaloongozwa na Mbunge wake, Freeman Mbowe kupitia tiketi ya Chadema, zilikuwa zigawanywe kwa kila kijiji ambapo katika mgawanyo huo, kila kijiji kingepewa Sh. 500,000.
Hata hivyo, Sabaya amesema leo Jumamosi Desemba 28,2019 kuwa ametoa maagizo kwa mkurugenzi wa Halmashauri ya Hai, Yohana Sintoo, kutoa Sh. 7 milioni na kuzipeleka katika shule hiyo na amemtaka awe amezikabidhi Jumatatu bila kukosa.
"Nimemuagiza DED (Mkurugenzi) atoe Sh7 milioni kati ya Sh42 milioni za mfuko wa Jimbo nilizozizuia ziende kutatua changamoto ya choo kwenye hiyo shule na amenihakikishia zitaenda Jumatatu," amesema Sabaya.
Shule hiyo haina choo cha walimu kwa miaka 10 sasa na walimu wamekuwa wakijisaidia katika choo cha Zahanati iliyopo jirani na shule jambo ambalo Sabaya amesema halikubaliki na ndio maana ameelekeza sehemu ya fedha za mfuko wa Jimbo ziende huko.
Tayari Halmashauri ya Wilaya ya Hai kupitia kwa mkurugenzi wake Sintoo imekabidhi mifuko 20 ya Saruji kwa ajili ya kuanzisha mchakato huo na ndipo Sabaya alipoingilia kati ili choo hicho kijengwe na kukamilika Januari 2020.
Jitihada za kumpata Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema kuzungumzia uamuzi huo wa Sabaya zinaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama amezielekeza kwenye shughuli za maendeleo ya jamii kuna ubaya gani?!
Kazi nyingi za vijijini ni za kujitolea kwa wananchi kutumia nguvu zao, kwa hiyo hizo fedha zingeweza kuwasaidia wananchi kumalizia pale walipoishia au wangeweza kununulia hata chai ya kuwatia nguvu wakati wanaendelea na majukumu yao ya kujitolea katika kazi zao za kujenga taifa.Sasa kila Kijiji laki tano..zingefanya kazi gani..au kuonga ulabu?
Kama amezielekeza kwenye shughuli za maendeleo ya jamii kuna ubaya gani?!
Nipo katika jimbo linaloongizwa na mbunge wa CCM. Shule nyingi hazina vyoo mbona sijasikia DC kubadilisha fedha za mfuko wa mbunge?Mkuu wa Wilaya ya Hai (DC) mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya, amezuia Sh. 42 milioni za mfuko wa Jimbo la Hai na kuagiza kati ya fedha hizo Sh. 7 milioni ziende kujenga choo cha walimu wa shule ya msingi Mijongweni iliyopo kata ya Mnadani wilayani humo.
Fedha hizo za mfuko wa Jimbo hilo linaloongozwa na Mbunge wake, Freeman Mbowe kupitia tiketi ya Chadema, zilikuwa zigawanywe kwa kila kijiji ambapo katika mgawanyo huo, kila kijiji kingepewa Sh. 500,000.
Hata hivyo, Sabaya amesema leo Jumamosi Desemba 28,2019 kuwa ametoa maagizo kwa mkurugenzi wa Halmashauri ya Hai, Yohana Sintoo, kutoa Sh. 7 milioni na kuzipeleka katika shule hiyo na amemtaka awe amezikabidhi Jumatatu bila kukosa.
"Nimemuagiza DED (Mkurugenzi) atoe Sh7 milioni kati ya Sh42 milioni za mfuko wa Jimbo nilizozizuia ziende kutatua changamoto ya choo kwenye hiyo shule na amenihakikishia zitaenda Jumatatu," amesema Sabaya.
Shule hiyo haina choo cha walimu kwa miaka 10 sasa na walimu wamekuwa wakijisaidia katika choo cha Zahanati iliyopo jirani na shule jambo ambalo Sabaya amesema halikubaliki na ndio maana ameelekeza sehemu ya fedha za mfuko wa Jimbo ziende huko.
Tayari Halmashauri ya Wilaya ya Hai kupitia kwa mkurugenzi wake Sintoo imekabidhi mifuko 20 ya Saruji kwa ajili ya kuanzisha mchakato huo na ndipo Sabaya alipoingilia kati ili choo hicho kijengwe na kukamilika Januari 2020.
Jitihada za kumpata Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema kuzungumzia uamuzi huo wa Sabaya zinaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba yake ni yupi? Ni yule Kagame wa TZ?Sabaya ni Mtoto wa Mkubwa. Ana nguvu sawa na Baba yake hivyo kuwa na uwezo huo
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hazimhusu hizo pesa na mwelekeze atafute fedha kutoka vyanzo vingine! Aache kuivunja taratibu na Sheria zilizoanzisha mifuko ya majimbo kwani atasababisha vurumai zisizo na lazima!Kama amezielekeza kwenye shughuli za maendeleo ya jamii kuna ubaya gani?!
Uko sahihi sana! Ila pia nionacho hao wawili wana mitazamo na malengo tofauti sana! Ilikuwaje Mfuko huo utoe laki 5 kwa kila kijiji? Laki tano zifanye nini kijijjini? Hiyo ingepelekea viongozi wa vijiji kuzigawana tu maana haziwezi hata kuweka sakafu ya darasa moja!Mwenye maamzi na zile fedha ni nani???? Busara ninayoiona mimi ili kuwepo na balance of change mh. Mbowe angeshirikishwa kwenye hilo ili kujenga mtazamo wenye kufanana maana suala la choo ni huduma mhimu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo ya hazimhusu ndo yamefanya watu kuziendeshea miradi binafsi na kuwaacha wananchi bila msaada. Ukiona busara iliyotegemewa haitumiki, zuia sheria isiendelee. Sheria inatakiwa iwe na akili.Hazimhusu hizo pesa na mwelekeze atafute fedha kutoka vyanzo vingine! Aache kuivunja taratibu na Sheria zilizoanzisha mifuko ya majimbo kwani atasababisha vurumai zisizo na lazima!
NakaziaWewe pimbi kweli kweli
Mkuu wa Wilaya ya Hai (DC) mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya, amezuia Sh. 42 milioni za mfuko wa Jimbo la Hai na kuagiza kati ya fedha hizo Sh. 7 milioni ziende kujenga choo cha walimu wa shule ya msingi Mijongweni iliyopo kata ya Mnadani wilayani humo.