DC Simalenga analengwa na nani? Tuhuma dhidi yake za kumpiga mwanafunzi zinatia mashaka sana

Ameshakiri alitaka kumpiga ila aliombwa Msamaha

Ndio wanasheria na DPP wanaifanyia Kazi hii Kauli, anaweza kushtakiwa kwa kutishia kujeruhi na kunyanyasa kwa kutumia Madaraka vibaya
Kama maelezo haya ya Simalenga ni ya kweli inamaana msichana hakupigwa na wala hana jeraha. Sasa ile pamba usoni kwa yule msichana ni ya kazi gani?

Kwann huyu msichana pia asifunguliwe kesi ya uzushi na kumchafua DC?
 
Tayari ukweli ushajulikana. Ni maigizo tu na kuharibiana mambo...Hawa ndo wale anakusingizia umembaka unapigwa mvua 30 hivi hivi unajiona wakati uko innocent [emoji706][emoji706][emoji706]

 
1. Una akili finyu sana. Kwanini? kwahiyo na Malimu Mkuu/afisa elimu kata/wilaya/mkoa wamebariki mhuni wa 6x6 (kama ulivyomnadi) kuchafua hiyo shule aliyoitaja kuwa anasoma hapo?
2. bandage huwa sinafungwa nanmna gani kitaalamu?
3. Nikikupiga kofi kwenye jicho haiwezekani? Inategemea umempiga vipi
 
Siamini na nitakuwa wa mwisho kuamini kioja hiki kwamba DC amemnasa kofi mwanafunzi mpk akajeruhiwa.
Sio lazima uamini wewe, sisi tutamshughulikia tu huyo bosi wako.
 
Hajapigwa. Simalenga amesema hajampiga mtu yeyote kofi. Wewe ni nani upinge?
Acha utoto wewe. Kama ni hivyo watuhumiwa wangekuwa wakiachiliwa pindi tu wanapokana kosa mahakamani.
 
Hivi kwa nini alimshika mkono mtoto wa kike tena kigori, mamlaka hiyo alipata wapi?
 
Kama maelezo haya ya Simalenga ni ya kweli inamaana msichana hakupigwa na wala hana jeraha. Sasa ile pamba usoni kwa yule msichana ni ya kazi gani?

Kwann huyu msichana pia asifunguliwe kesi ya uzushi na kumchafua DC?
Mbona unapaparika subiri vikao vya Chama vikamilike ndio utaijua Nguvu ya mwanamke!
 
Apigwe chini tu buana kishalamba asali ya kutosha halafu kumbe kama ni huyo bwana wala hana jipya ni kijana wa Kaole sanaa group
 
Sasa Mzee Kikwete ameingia vipi tena kwenye huu utetezi wako?

Hauwezi kuficha chuki zako kwa Kikwete?

Ulikuwa na hoja,lakini imeiharibu kabisa kwa kuanza character assassination!

Hata hivyo,kiongozi hatakiwi kabisa kuhusishwa kwenye skendo yoyote. Apambane na yake.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa binti huyo amenazwa kofi zito namna hyo

Yule ni malaya wa chunya uko nawapata san wanawake wale wapuuzi sna

Hkn mwanafunz pale
 
Malaya tu yule mtoto hkn mwanafunzi pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…