kudath omar
Senior Member
- Mar 18, 2018
- 173
- 209
Kwani wenzetu mpo kwenye njia gani msiyofika kila siku.Nchi ina mambo mazito sana na ya msingi kuyajadili, kuliko Simalenga na mambo yake. Tusitoane kwenye njia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wenzetu mpo kwenye njia gani msiyofika kila siku.Nchi ina mambo mazito sana na ya msingi kuyajadili, kuliko Simalenga na mambo yake. Tusitoane kwenye njia
Nakubaliana na point zote za mtoa mada, mara ya kwanza natizama hii Video, nikasema huyu Binti ni Kicheche flani hivi!
Sasa aliuingiaje kibwege mtego wa kumvaa binti mwilini? Ukiendeshwa na hisia always utaambulia kilioIssue siyo Simalenga, issue ni nafasi yake. Wanamtoaje ili ipatikane? Ndiyo unaona futuhi zinatengenezwa hizi.
We Simalenga acha kupanick!Siamini na nitakuwa wa mwisho kuamini kioja hiki kwamba DC amemnasa kofi mwanafunzi mpk akajeruhiwa.
Yaani kofi limejeruhi kiasi kwamba nusu ya uso wa mwanafunzi umebandikwa pamba? Tangu lini kofi likajeruhi kama panga??
Nimeangalia mara 5 clip ya "anayedaiwa kuwa mwanafunzi aliyejeruhiwa". Kwa kuwa nilisomea Cuba nimebaini yafuatayo yanaweza kuwa kweli;-
(a) Anayedaiwa kuwa mwanafunzi wala siyo mwanafunzi. Ni mhuni fulani tu toka mtaani. Namna anavyoongea hana soni.
(b) Anayedaiwa kujeruhiwa hana jeraha ndiyo maana hasikii maumivu yoyote. Ukiangalia ukubwa wa pamba iliyobandikwa usoni unaweza kukadiria ukubwa wa jeraha na wingi wa maumivu. Lakini vyote hivyo havionekani kwa huyo "mwanafunzi". Kwahiyo huyo msichana kwa hisia zangu hana jeraha. Kama unabisha mwambieni aondoe hiyo pamba usoni.
(c) Kuna magazeti 4 yameandika habari hii kinazi sana kurasa za mbele. Hii inaashiria magazeti haya yamenunulowa na anayemlenga Simalenga.
Chochote kinawezekana awamu hii. Uhuni wa kusagiana kunguni na kupakaziana ili watu wapoteze nafasi zao unarudi kwa kasi Sana (kama enzi za mzee Kikwete).
DC Simalenga kwa 80%analengwa na wabaya wake. Kama mnabisha pamba itolewe usoni kwa huyo mtoto ili tuone jereha lake.
Kwenye boxing hawapigani makofi, wanapigana ngumi. Ngumi Ina uwezo wa kusababisha mchubuko lkn siyo kofi.Umeishawahi kuhudhuria boxing match yoyote, bwashee? Hujawahi kuona bondia anapigwa upper cut uso wote unachanika?
Nisome vema kwenye nyuzi zangu zote nilizowahi kuandika ndiyo utajua kuwa mm siyo SimalengaWe Simalenga acha kupanick!
Inamaanisha walikuwa na mahusiano pengine.DC anaruhusiwa kupiga vicheche eti?
Mnachekesha sana!
Duh mpaka nimekasirika ghafla!!!
Tunachoomba haki itendeke dhidi ya DCSasa aliuingiaje kibwege mtego wa kumvaa binti mwilini? Ukiendeshwa na hisia always utaambulia kilio
Unataka tuamini bila kuhoji maneno ya kicheche? Acha kuwa mmezaji wa bila kutafuna. Utameza na visivyomezeka.Tumia akili wewe mbwiga!! Kicheche chenyewe ndo kimesema ni mwanafunzi. Mpaka hapo unataka tujadili majungu hayo?
Vizuri sana, suala hili limeibua sintofahamu katika jamii.Nisome vema kwenye nyuzi zangu zote nilizowahi kuandika ndiyo utajua kuwa mm siyo Simalenga
Mbona mnatoa hoja kama watoto wadogo?Kwenye maelezo yake anajichanganya hata mwenyewe tu. Eti nilivyopigwa nikaenda nyumbani,sikuwakuta wazazi,nikalala. Utalala vipi badala ya kwenda hosp?. Halafu ukicheck lipamba limejaa uso mzima. Yaani hapo kuna namna
Tupe hoja yako ewe "kama mtu.mzima"Mbona mnatoa hoja kama watoto wadogo?
Unasemaje si mwanafunzi na imethibitika anasoma na alikuwa pale kishule. Utoto wa kwanza. Huyo mwenzako anasema kwa nini hakwenda hospitali akaenda kulala, huo ni utoto wa pili. unafikiri hospitali wanalipa maneno? Hata kama mmetumwa kutetea basi muongee kama watu wazima.Tupe hoja yako ewe "kama mtu.mzima"